Kumbe Kuna ndoto Huwa ni za kweli

Kumbe Kuna ndoto Huwa ni za kweli

Shanily

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2024
Posts
856
Reaction score
1,662
Kuna muda unaweza ukaota timu Fulani imefungwa na inafungwa kwelii, Kuna muda unaota Hadi idadi ya magoli na inakuwa hiyo hiyo, kumbe ndoto Zina Siri ndefu!!.

Niliotaga utopolo amepata vipigo vitatu mfululu 😂 na ikawa kweli , hata hii ya 2 - 0 ilikuwemo.

Nipo naskilizia ya Algeria kwa udi na uvumba🤣.
 
Jmos uto anafungwa na injinia anatolewa mkuku
 
Kuna Timu Moja kubwa ya Bongo itafungwa 1-3 kwenye mechi yake weekend hii.....
 
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.

1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.

Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.

LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.

2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.

1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonwa na Maradhi.

4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo

6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk

MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.

OKOENI TAIFA LENU LEO.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
 
Kuna muda unaweza ukaota timu Fulani imefungwa na inafungwa kwelii, Kuna muda unaota Hadi idadi ya magoli na inakuwa hiyo hiyo, kumbe ndoto Zina Siri ndefu!!.

Niliotaga utopolo amepata vipigo vitatu mfululu 😂 na ikawa kweli , hata hii ya 2 - 0 ilikuwemo.

Nipo naskilizia ya Algeria kwa udi na uvumba🤣.
Cha ajabu huwezi kuota kupata pssa na ikawa kweli.

Ota sasa una kunya😅😅😅
 
Ongeza na wasiojulikana chama cha kijani
 
Kuna muda unaweza ukaota timu Fulani imefungwa na inafungwa kwelii, Kuna muda unaota Hadi idadi ya magoli na inakuwa hiyo hiyo, kumbe ndoto Zina Siri ndefu!!.

Niliotaga utopolo amepata vipigo vitatu mfululu 😂 na ikawa kweli , hata hii ya 2 - 0 ilikuwemo.

Nipo naskilizia ya Algeria kwa udi na uvumba🤣.
Naomba uwe unaota kila siku. Ndoto zako nimezipenda sana.Niambukize kuota mkuu.
 
Back
Top Bottom