Kumbe kuna nyuzi nimezuiluwa kuchangia?? Nini jf inakiogopa ni haya madini yangu😀😀

Room 28

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,077
Reaction score
1,736
Kuna uzi nimuuona unahusu
Nchi ya Rwanda imeendelea kuliko Kagera”

Nikajaribu kupitia nikaona analysis iliyofanyika ni yakitoto!

Wakati nimeandaa madini yangu kumuelimisha huyu jamaa nikaambiwa

SIRUHUSIWI KUCHANGIA” kuna shida kidogo

Nikalog out nika log in kurudi ishu ile ile
Kuufuatilia uzi kumbe HAURUHUSU ELITE kuchangia!

Sasa sijajua ni mm tu au watu wengi
Na alioufunfa ni jf au mwandishi
 

Attachments

  • IMG_0403.png
    236.5 KB · Views: 14
  • IMG_0404.jpeg
    94.7 KB · Views: 12
Gentleman,
ukiona hivyo ujue kuna wakati uliwahi kuwalemaza kwa hoja nzito ya ukweli unao kera 🐒
 
Kuna jukwaa linaitwa Great thinkers (pitia sehemu ya forums utaliona)

Huko kuna baadhi ya member ndiyo wanaruhusiwa kuchangia wengine wanaobakia wanasoma tu bila kutia neno lolote

Kwahiyo itakuwa umepita huko au LABDA Uzi umefungwa
Unajiungaje kwene hilo kundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…