Kumbe kuna shindano la kumsifu mama samia

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Nilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa kabisa lisiendele wakusifiwa na kuabudiwa ni yeye pekee Mungu
 
Weka basi picha au voice clip. Vinginevyo ni uharo tu unetuandikia hapa. Nyambaaàaf
 
Mjini michongo tu. Ungelitegemea Mwijaku awe na maisha mazuri hadi kwenda Dubai? Piga akili dogo usishangae wenzako!
 
Nilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa kabisa lisiendele wakusifiwa na kuabudiwa ni yeye pekee Mungu
Jambo la muhimu na la maana zaidi ni kutokufanya mzaha lakini pia kumkufuru Mungu.
hili Lina matokeo binafsi sana ni vema kujiepusha nalo 🐒

Jambo la pili namshukuru Mungu kwa niaba yako na yangu kwa zawadi ya uhai na afya anazotukirimia bure tangu kuzaliwa kwetu...

Namuombea kila moja wetu humu jukwaani Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nae daima katika majukumu na kazi halali za kila siku...

Zaidi sana namuombea afya Njema mama na Rais wetu kipenzi Dr.Samia Suluhu Hassan, na Serikali yake sikivu ya CCM, kwa namna anavyofanya kazi nzuri ya kuwatumikia na kuwaletea maendeleo waTanzania...

Mungu Ibariki Tanzania..
 
Nilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa kabisa lisiendele wakusifiwa na kuabudiwa ni yeye pekee Mungu
Source?
 
Wivu unakusumbua we Mpina
 
Nilishangaa jana kuna mtu kwenye hilo shindano anamsifu mama Samia kwa ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere

Hapohapo nikabadilisha station

Majudge vilaza na contenders nao vilaza
 
Weka ushahid, acha kuweweseka.
Samia tena 2025
 
Weka basi picha au voice clip. Vinginevyo ni uharo tu unetuandikia hapa. Nyambaaàaf
Ebu soma nilichokiandika hapa
Nilishangaa jana kuna mtu kwenye hilo shindano anamsifu mama Samia kwa ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere

Hapohapo nikabadilisha station

Majudge vilaza na contenders nao vilaza
Asante kwa kunisaidia mana mimi sio muangaliaji wa tv sikumbuki ni channel gani nilikuwa nimekaa mahali nikisubiri nihudumiwe huduma fulani then niingie kulala
 
Nilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa kabisa lisiendele wakusifiwa na kuabudiwa ni yeye pekee Mungu
Wewe waache wamchurie, kuna wajinga walimuita Magufuli Mh. Mungu, wote tunajua kilichofuata.
 
Amini kuwa hao ambao wanaitwa "wamejitoa ufahamu" hawana ufahamu wa asili kwa kuanzia.

Hakuna "SI Unit" ya kufanikiwa/mafanikio.

Kila mmoja ana kipimo chake cha mafanikio.
Walipo na walipotoka ni tofauti.
 
Back
Top Bottom