Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Weka basi picha au voice clip. Vinginevyo ni uharo tu unetuandikia hapa. NyambaaàafNilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa kabisa lisiendele wakusifiwa na kuabudiwa ni yeye pekee Mungu
Mjini michongo tu. Ungelitegemea Mwijaku awe na maisha mazuri hadi kwenda Dubai? Piga akili dogo usishangae wenzako!Nilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa kabisa lisiendele wakusifiwa na kuabudiwa ni yeye pekee Mungu
Jambo la muhimu na la maana zaidi ni kutokufanya mzaha lakini pia kumkufuru Mungu.Nilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa kabisa lisiendele wakusifiwa na kuabudiwa ni yeye pekee Mungu
Source?Nilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa kabisa lisiendele wakusifiwa na kuabudiwa ni yeye pekee Mungu
Chiembe. choicevariable
Wivu unakusumbua we MpinaNilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa kabisa lisiendele wakusifiwa na kuabudiwa ni yeye pekee Mungu
Wazee wa kububujikwa na machozi ya furaha
Weka ushahid, acha kuweweseka.Nilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa kabisa lisiendele wakusifiwa na kuabudiwa ni yeye pekee Mungu
Ebu soma nilichokiandika hapaWeka basi picha au voice clip. Vinginevyo ni uharo tu unetuandikia hapa. Nyambaaàaf
Asante kwa kunisaidia mana mimi sio muangaliaji wa tv sikumbuki ni channel gani nilikuwa nimekaa mahali nikisubiri nihudumiwe huduma fulani then niingie kulalaNilishangaa jana kuna mtu kwenye hilo shindano anamsifu mama Samia kwa ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere
Hapohapo nikabadilisha station
Majudge vilaza na contenders nao vilaza
Amini kuwa hao ambao wanaitwa "wamejitoa ufahamu" hawana ufahamu wa asili kwa kuanzia.Ukijiondoa ufahamu hii nchi ni rahisi kufanikiwa.
Mwijaku, Kitenge, Lucas Mwashambwa , Covax ni mifano.
Wewe waache wamchurie, kuna wajinga walimuita Magufuli Mh. Mungu, wote tunajua kilichofuata.Nilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa kabisa lisiendele wakusifiwa na kuabudiwa ni yeye pekee Mungu
Walipo na walipotoka ni tofauti.Amini kuwa hao ambao wanaitwa "wamejitoa ufahamu" hawana ufahamu wa asili kwa kuanzia.
Hakuna "SI Unit" ya kufanikiwa/mafanikio.
Kila mmoja ana kipimo chake cha mafanikio.