Kumbe Kuna taratibu za kufuata ili kununua sumu

Kumbe Kuna taratibu za kufuata ili kununua sumu

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Elimu haina mwisho
Leo nilikuwa nasikiliza radio Fulani wakawa wanaeleza taratibu za kuuza na kununua sumu.
Kumbe haitakiwi kununua sumu nyingi bila kibali cha mamlaka maana yaweza sababisha madhara Kwa jamii
Labda mtu anaweza akawa na nia ovu ya kuua halaiki ya watu na mifugo.
Labda kuweka sumu kwenye chakula cha wanafunzi shuleni.
Kwenye maji n.k
Hakika elimu haina mwisho
 
Sumu zinauzwa mitaani kibao tu
Tena wanapita na tangazo kabisa ya kusema tunauza sumu....

Ova
 
Back
Top Bottom