Nchi ikiwa na credit za USD ktk overseas Bank inaweza kutrade hizo pesa ktk products mbali mbali Swap, lending to others and get income.Mfano nilisoma sehemu Standard Chartered Bank ndo hutumika kwenye 60% ya pesa za kigeni.
Hivyo faida yao ya Bilioni 85 ilitokana na hilo la kuhusika katika kutuma pesa
Mfano kenya hawana sisi kupitia accounts za nje tunawakopesha wanatulipa kwa interests au tunaweza kununua US Gvt securities na kupata income.
Kama wakati huu US Federal reserves wamepandisha interest rates inavutia surplus units kununua securities na kucreate shortage kwenye markets.