Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 4,460 Reaction score 13,715 Oct 10, 2023 #1 Hatujui zaidi kuhusu kama wamekufa, kujeruhiwa au kutekwa ila kama kuna mtu mwenye kumjua au kuwajua watu hawa atupe updates.
Hatujui zaidi kuhusu kama wamekufa, kujeruhiwa au kutekwa ila kama kuna mtu mwenye kumjua au kuwajua watu hawa atupe updates.
Imalamawazo JF-Expert Member Joined Jul 27, 2021 Posts 1,343 Reaction score 3,269 Oct 10, 2023 #2 Serikali itoe taarifa ya vijana walioenda kujifunza kilimo Israel wapo salama au la? Ikiwa usalama wao uko shakani kwa nini wasirudishe kwanza nyumbani hadi hali itakapo tengemaa?
Serikali itoe taarifa ya vijana walioenda kujifunza kilimo Israel wapo salama au la? Ikiwa usalama wao uko shakani kwa nini wasirudishe kwanza nyumbani hadi hali itakapo tengemaa?
Snapdragon 8 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2023 Posts 1,046 Reaction score 3,781 Oct 10, 2023 #3 Saivi tunagawana upande huku tukifurahia,baadae tutalia sana na kujuta
Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 4,460 Reaction score 13,715 Oct 10, 2023 Thread starter #4 Eli Cohen said: Hatujui zaidi kuhusu kama wamekufa, kujeruhiwa au kutekwa ila kama kuna mtu mwenye kumjua au kuwajua watu hawa atupe updates. View attachment 2777524 Click to expand... God bless
Eli Cohen said: Hatujui zaidi kuhusu kama wamekufa, kujeruhiwa au kutekwa ila kama kuna mtu mwenye kumjua au kuwajua watu hawa atupe updates. View attachment 2777524 Click to expand... God bless
Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 4,460 Reaction score 13,715 Oct 10, 2023 Thread starter #5 Snapdragon 8 said: Saivi tunagawana upande huku tukifurahia,baadae tutalia sana na kujuta Click to expand... Kweli mkuu
Snapdragon 8 said: Saivi tunagawana upande huku tukifurahia,baadae tutalia sana na kujuta Click to expand... Kweli mkuu
G.25 JF-Expert Member Joined Jun 12, 2013 Posts 1,737 Reaction score 1,891 Oct 10, 2023 #6 Hii imekaa kitaalam sana, ukisoma mwishoni ndo imejipambanua ni propaganda ya kuhalalisha kitakachofanywa gaza!
Hii imekaa kitaalam sana, ukisoma mwishoni ndo imejipambanua ni propaganda ya kuhalalisha kitakachofanywa gaza!