UKWELI DAIMA
New Member
- Oct 13, 2012
- 3
- 0
Code:
nimebaini kuna idadi ya walimu wanaofanya kazi ya kuendesha pikipiki(boda boda) ili kuingiza kipato. Ayo nimeyabaini wiki iliyopita musoma baada ya kukodi pikipiki na kubaini dreva wangu ni mwalimu by proffesional.
Baada ya kumdadisi kwa undani akanieleza wapo si chini ya walimu 9 (primary na sekondari) wanaofanya kazi ya bodaboda, na sababu kubwa ni kipato kidogo wanachopata kwenye mishahara yao.
Na shughuli iyo imekuwa ikifanyika ata muda wanaokatakiwa kuwepo madarasani.
Je kuna mwanajf mwenye kujua kuhusu lolote kwenye mikoa mingine?
watanzania tuache uvivu wa kufikiri.tusipende kuridhika na pesa tulizo nazo.hata kama unapata kiasi kikubwa cha pesa usiridhike ukakaa umebweteka.piga kazi sio kukaa kupiga umbea au kucheza bao.nawapongeza hao walimu.keep it up after all kazi ya bodaboda ni kazi kama kazi zingine!