Kumbe kuna walimu ni boda boda

Kumbe kuna walimu ni boda boda

Code:
nimebaini kuna idadi ya walimu wanaofanya kazi ya kuendesha pikipiki(boda boda) ili kuingiza kipato. Ayo nimeyabaini wiki iliyopita musoma baada ya kukodi pikipiki na kubaini dreva wangu ni mwalimu by proffesional.

Baada ya kumdadisi kwa undani akanieleza wapo si chini ya walimu 9 (primary na sekondari) wanaofanya kazi ya bodaboda, na sababu kubwa ni kipato kidogo wanachopata kwenye mishahara yao.

Na shughuli iyo imekuwa ikifanyika ata muda wanaokatakiwa kuwepo madarasani.

Je kuna mwanajf mwenye kujua kuhusu lolote kwenye mikoa mingine?

watanzania tuache uvivu wa kufikiri.tusipende kuridhika na pesa tulizo nazo.hata kama unapata kiasi kikubwa cha pesa usiridhike ukakaa umebweteka.piga kazi sio kukaa kupiga umbea au kucheza bao.nawapongeza hao walimu.keep it up after all kazi ya bodaboda ni kazi kama kazi zingine!
 
kila aliyechangia kwenye mada hii amekubaliana na ubunifu wa walimu kuwa bodaboda,hii ni kutokana na mshahara mdogo wanaolipiwa, na lazima tukiri hilo limekuwa likiathiri elimu yetu kwa kuwa kazi hiyo ya boda boda imekuwa ikifanyika ata muda wanaotkiwa kuwa darasani kufundisha,hivyo basi ni jukumu la serikali kuboresha maslahi ya walimu ili kuondokana na khali hii.
 
Sasa nyie ndio mnajua leo!!! Mimi hapa ninapokaa jirani yangu ni mwl na anaendesha boda boda na nimeona ni kawaida, ingawaje si jambo zuri sana.
 
Nimebaini kuna idadi ya walimu wanaofanya kazi ya kuendesha pikipiki(boda boda) ili kuingiza kipato. Ayo nimeyabaini wiki iliyopita Musoma baada ya kukodi pikipiki na kubaini dreva wangu ni mwalimu by proffesional.

Baada ya kumdadisi kwa undani akanieleza wapo si chini ya walimu 9 (primary na sekondari) wanaofanya kazi ya bodaboda, na sababu kubwa ni kipato kidogo wanachopata kwenye mishahara yao.

Na shughuli iyo imekuwa ikifanyika ata muda wanaokatakiwa kuwepo madarasani.

Je kuna mwanaJF mwenye kujua kuhusu lolote kwenye mikoa mingine?

Kwa hiyo what is your conclusion...wewe ilkuhusu vp wakati mtu anatafuta kula yake..na wewe ulikuwa unaenda wapi kama sio kutafuta mkate wa wanao...aaaahhh!je ulitaka aendeshe muda gani?..na je katika shele wanazofundisha kuna mwanao pale?.
 
hongera walimu! lakini mimi hapa dodoma nishapanda bodaboda mara mbili na madereva ni askari polisi!
 
Kwa hiyo what is your conclusion...wewe ilkuhusu vp wakati mtu anatafuta kula yake..na wewe ulikuwa unaenda wapi kama sio kutafuta mkate wa wanao...aaaahhh!je ulitaka aendeshe muda gani?..na je katika shele wanazofundisha kuna mwanao pale?.

mbona umenishambulia kama vile nimewashtaki walimu,lengo ni serikali kujua walimu wanateseka sana kutokana na mishahara midogo wanayopewa.Ni haki walimu kutitafutia kipato kwa njia yoyote ile ya halali kama kuendesha boda boda,lakini suala la kufanya biashara wakati wa kazi harikubariki,na lawama zote ziende kwa serikali kwa kushindwa kuboresha maisha ya walimu.
my conclusion,,,,1matokeo ya form4,2012 kwa kiasi fulani yamechangiwa na khali hii.
2 serikali ichukue hatua kuboresha maslahi ya walimu
 
Back
Top Bottom