Kumbe kutembea na Kondomu ndio kuwa kijana wa kisasa?

Binafsi condom huwa natembea nazo, incase of emergency, ila sio kwenye wallet

1. Nikiwa pikipiki,
huwa nazificha kwenye mfuniko wa betri

2. Nikiwa na gari
Huwa nazificha kwenye Headrest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…