Kumbe kuvipangilia vitoto vya 2000 ni kazi ni bora nirudi kwa mishangazi

VINICIOUS JR

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
208
Reaction score
518
kwema wakuu. sema kweli hivi vitoto vinavutia sana ila ukianza mchakato wa kuvitongoza unaweza kata tamaa.

Heri mishangazi ukiropoka tu mikeka inatiki.. kwaheri vitoto vya afmbili tutaonana tena mtapo kua mishangazi sahizi nimenyosha mikono juu.
 
Vigumu kweli ndugu yangu, havielewi kabisa.
Tunawangojea kesho ,sio mbali na leo wanakuwa wa jana.
 
hakuna kukata tamaa ndugu mpambanaji mpaka ufe kishujaa...
 
kwema wakuu. sema kweli hivi vitoto vinavutia sana ila ukianza mchakato wa kuvitongoza unaweza kata tamaa. heri mishangazi ukiropoka tu mikeka inatiki.. kwaheri vitoto vya afmbili tutaonana tena mtapo kua mishangazi sahizi nimenyosha mikono juu.
Ivo usijidai mtu mzima nenda navo ivo ivo kiutoto utoto chips kuku, KFC, pizza na 10k ya Bolt ndio vitu vyao
 
kwema wakuu. sema kweli hivi vitoto vinavutia sana ila ukianza mchakato wa kuvitongoza unaweza kata tamaa. heri mishangazi ukiropoka tu mikeka inatiki.. kwaheri vitoto vya afmbili tutaonana tena mtapo kua mishangazi sahizi nimenyosha mikono juu.
Mabingwa wa ku-download, kwa hiyo download failed, please! try again later
 
kwema wakuu. sema kweli hivi vitoto vinavutia sana ila ukianza mchakato wa kuvitongoza unaweza kata tamaa. heri mishangazi ukiropoka tu mikeka inatiki.. kwaheri vitoto vya afmbili tutaonana tena mtapo kua mishangazi sahizi nimenyosha mikono juu.
vaa pendeza, nukia, ndinga kali, mchele uwe wa kutosha hakuna kuku anapeperuka.. tubu mrudie muumba wako
 
simple tu, hao kizazi cha FASHION wanapenda DRAMA zaidi, ukienda nao ki_father huwapati ng'oo. Wape Viji_ZAWADI vya mara kwa mara. OUTing weekend, utawala hadi uchoke.
NB;wanawake wote wanataka mwanaume ambae ni MR.ENJOY kama mimi sio mbahili.
 
Aisee Mungu atusimamie sana hivi vitoto sasa hivi vingi vimekuwa visagaji na vishoga sanaaaa🤔😪😪
 
Mishangazi ya kuzaliwa 1999(robo Karne) iliyopita angalau ilimsikia baba WA taifa ndo maana Haina tatizi, inauenzi ujamaa kwa vitendo kinapokuja suala la kusosholaizi.

Shangazi ni mwanamke yeyote mwenye robo Karne Dunia mnene na mchangamfu.
hahahahahaa
 
Ujamaa😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom