kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Kama kawaida yangu wanajf leo nilikua na mtu wangu anafanya kazi TCRA nikawa namuuliza kuhusu local vipi mamlaka na serikali imeshindwa kudhibiti wakati local channel ni haki ya kila mtz yaani uhuru wa kupata habari
Alichonijibu akanambia wewe hujui huu mpango wa kisiasa akanambia "unamjua bwana yule anayetamani malaika washuke waizime mitandao eeeh"
Nikamjibu "naam namjua"
Akanambia huyu bwana ndo alitoa amri kipindi kile yule "goli la mkono" alivyokua wizara ya habari
Akanambia huu ni mkakati wa kuhakikisha watu wanaangalia tv yetu pendwa ya "ukweli na uhakika" ili watu wakose upande wa pili wa shillingi maana wengi watashindwa kumudu kulipia na kweli kabisa wengi wameshindwa kulipia yaani ktk kumi wenye visumbusi 3 tu ndo wanalipia 7 hawalipi wanabaki na ile tv yetu pendwa
Kumbe yule malaika kaanzia kwenye tv eeeh kweli twafaaaa bado mitandao ya kijamii