Tetesi: Kumbe kuzimwa local channel kuwa za kulipia ulikua ni mpango wa kisiasa

Tetesi: Kumbe kuzimwa local channel kuwa za kulipia ulikua ni mpango wa kisiasa

niliwahi kusema hapa jukwaani
 
Duh ni malaika yule wa kupenda kusifiwa tu kumbe ndiyo amri yake hii? Na sasa pia anataka ma-bloggers wawe na leseni walipie $930. Na Internet cafes zote ziweke CCTV ili akishutumiwa ajue ni nani ili akamatwe. Na pia sheria yake mpya ya mtandao ni kwamba ukipatikana na kosa ulipe faini siyo chini ya shs 5M! Au kifungo cha miezi 12 au faini na kifungo pia. Nafikiri malaika huyu siyo Jibril wala Gabriel bali ni IBILISI!
nilisema mkuu leo yametokea
 
Kama kawaida yangu wanajf leo nilikua na mtu wangu anafanya kazi TCRA nikawa namuuliza kuhusu local vipi mamlaka na serikali imeshindwa kudhibiti wakati local channel ni haki ya kila mtz yaani uhuru wa kupata habari

Alichonijibu akanambia wewe hujui huu mpango wa kisiasa akanambia "unamjua bwana yule anayetamani malaika washuke waizime mitandao eeeh"
Nikamjibu "naam namjua"
Akanambia huyu bwana ndo alitoa amri kipindi kile yule "goli la mkono" alivyokua wizara ya habari

Akanambia huu ni mkakati wa kuhakikisha watu wanaangalia tv yetu pendwa ya "ukweli na uhakika" ili watu wakose upande wa pili wa shillingi maana wengi watashindwa kumudu kulipia na kweli kabisa wengi wameshindwa kulipia yaani ktk kumi wenye visumbusi 3 tu ndo wanalipia 7 hawalipi wanabaki na ile tv yetu pendwa

Kumbe yule malaika kaanzia kwenye tv eeeh kweli twafaaaa bado mitandao ya kijamii
Hata wafagizi na wasafisha vyoo (no offense) wapo TCRA wanafanya kazi. Unaweza ukawa umeambiwa na jamaa yoyote anayefanya kazi wa TCRA.
 
Teknolojia haina mipaka.. tutapashana taarifa kwa kasi ya ajabu, akizima surface web internet sisi tutaingia deep web.
 
Sasa mbona watu walikuwa kimya ?
Hii Avatar picture yako uliyoiedit, mpe hi huyo Nigga aliyeitengeneza kabla hujaedit na kuweka yako!

Jamaa ni kichwa mbaya A new Designer in Town!
 
Back
Top Bottom