ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Potelea mbali hata kama likiwa bovu kidogo ila nataka na mimi gari mwakani nimepiga hesabu kumbe laki mja moja zikifika 50 tu unakuwa na million 5..sasa kama mpaka sasa tu nina laki kama 24 hivi.
Yaani million 2.4 ina maana bado laki kama 26 tu mbona hizo nafikisha wakuu. maana kama kila mwezi nikiweka laki 4 si miezi mi 5 tu nitakuwa vzr. nna kama kuna gari za million 3 wekeni hapa wadau.