Kumbe laki 1 zikiwa 50 tu ni million 5 ambazo unanunua gari kabisa

Kumbe laki 1 zikiwa 50 tu ni million 5 ambazo unanunua gari kabisa

Mkuu nakushauri usinunue gari ,mimi nilinunua gari kwa milioni 13 ya mkopo sina hamu na gari lenyewe nikauza milioni 7 .Sasa hivi natembelea nissan sunny najifanya old school .Nilinunua M 2 na laki nane.Na lenyewe ntauza tu .Ila kusikia kwa kenge mpaka atoe damu masikioni .Kazi kwako.
Ulipigwa uliingia kichwa kichwa
 
Potelea mbali hata kama likiwa bovu kidogo ila nataka na mimi gari mwakani nimepiga hesabu kumbe laki mja moja zikifika 50 tu unakuwa na million 5..sasa kama mpaka sasa tu nina laki kama 24 hivi.

Yaani million 2.4 ina maana bado laki kama 26 tu mbona hizo nafikisha wakuu. maana kama kila mwezi nikiweka laki 4 si miezi mi 5 tu nitakuwa vzr. nna kama kuna gari za million 3 wekeni hapa wadau.
Kwa hiyo kazi Yako ya halimashauri utunze laki 4 Kila mwezi, acha utani mkuu.
 
Back
Top Bottom