ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Pambana mkuu upate hitaji la moyo wakoPotelea mbali hata kama likiwa bovu kidogo ila nataka na mimi gari mwakani nimepiga hesabu kumbe laki mja moja zikifika 50 tu unakuwa na million 5..sasa kama mpaka sasa tu nina laki kama 24 hivi..yaani million 2.4..ina maana bado laki kama 26 tu mbona hizo nafikisha wakuu..maana kama kila mwezi nikiweka laki 4 si miezi mi 5 tu nitakuwa vzr..na kama kuna gari za million 3 wekeni hapa wadau.
Mkuu tuongee hilo la nissan sunny vpi ina shida gani sana..niuzie tu na mimi linihangaisheMkuu nakushauri usinunue gari ,mimi nilinunua gari kwa milioni 13 ya mkopo sina hamu na gari lenyewe nikauza milioni 7 .Sasa hivi natembelea nissan sunny najifanya old school .Nilinunua M 2 na laki nane.Na lenyewe ntauza tu .Ila kusikia kwa kenge mpaka atoe damu masikioni .Kazi kwako.
Je toyota altezaSpacio
Naipata mkuu kwenye poshoshida ni io laki moja unaipataja na kuitunza mpka kufika million 5....
Kwenye kuitunza kweli changamotoshida ni io laki moja unaipataja na kuitunza mpka kufika million 5....
Kuna sehemu limetoboka ,milango mpaka uwe ninja unaweza kujikuta unalala humo humo mara ifunguke mara ikugomee.Kuna kikazi nikikimaliza tu nakuachia uhangaike nalo mimi ngoja nitumie pikipiki tu.Mkuu tuongee hilo la nissan sunny vpi ina shida gani sana..niuzie tu na mimi linihangaishe
maisha yetu ya kibongo ukishiks tyu hela shida zinapotokea ujuii yaaanKwenye kuitunza kweli changamoto
Ila safari linapiga vizuri ? Engine iko sawa ,matunzo kiasi unalipatia ? Ikiwa ndiyo Basi Kaka ndege JOHN asipolichukua lilete niishi nalo hapa kijijini Kaka.Kuna sehemu limetoboka ,milango mpaka uwe ninja unaweza kujikuta unalala humo humo mara ifunguke mara ikugomee.Kuna kikazi nikikimaliza tu nakuachia uhangaike nalo mimi ngoja nitumie pikipiki tu.
Hili ni lakuliona kwanza ndio uchukue maamuzi kutoka chini ya uvungu wa roho kabisaa.Ila safari linapiga vizuri ? Engine iko sawa ,matunzo kiasi unalipatia ? Ikiwa ndiyo Basi Kaka ndege JOHN asipolichukua lilete niishi nalo hapa kijijini Kaka.