MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Dah mkuu usijali muda ukifika nijuze ulipo nitakaribia na majeshi yangu ya garage tulihakikiHili ni lakuliona kwanza ndio uchukue maamuzi kutoka chini ya uvungu wa roho kabisaa.
Ulipigwa uliingia kichwa kichwaMkuu nakushauri usinunue gari ,mimi nilinunua gari kwa milioni 13 ya mkopo sina hamu na gari lenyewe nikauza milioni 7 .Sasa hivi natembelea nissan sunny najifanya old school .Nilinunua M 2 na laki nane.Na lenyewe ntauza tu .Ila kusikia kwa kenge mpaka atoe damu masikioni .Kazi kwako.
Uchumi mkuu kwa mishahara ya laki tisa na arobaini hii.Gari lilinitoa mvi nikaona cha kufia nini?Ulipigwa uliingia kichwa kichwa
Ungekuwa polisi usingeteseka ivyoUchumi mkuu kwa mishahara ya laki tisa na arobaini hii.Gari lilinitoa mvi nikaona cha kufia nini?
Kivipi mkuuUngekuwa polisi usingeteseka ivyo
Kwa hiyo kazi Yako ya halimashauri utunze laki 4 Kila mwezi, acha utani mkuu.Potelea mbali hata kama likiwa bovu kidogo ila nataka na mimi gari mwakani nimepiga hesabu kumbe laki mja moja zikifika 50 tu unakuwa na million 5..sasa kama mpaka sasa tu nina laki kama 24 hivi.
Yaani million 2.4 ina maana bado laki kama 26 tu mbona hizo nafikisha wakuu. maana kama kila mwezi nikiweka laki 4 si miezi mi 5 tu nitakuwa vzr. nna kama kuna gari za million 3 wekeni hapa wadau.
Mbali na mshahara kuna laki 6 ya helimu kuna posho hela ya mafuta hela ya unadhimuKivipi mkuu
Au sioMbali na mshahara kuna laki 6 ya helimu kuna posho hela ya mafuta hela ya unadhimu
Nitalichukua ,maliza mkataba naloMnyama huyo hapo😂😂😂View attachment 3158640
Huyu inaonekana yuko kwenye wizara fulani hivi, huko wizarani pako njema tu hivyo hiyo 5m ataipata tuKwa hiyo kazi Yako ya halimashauri utunze laki 4 Kila mwezi, acha utani mkuu.
Inaonekana mshahara na marupurupu yanamshawishiiiiHuyu inaonekana yuko kwenye wizara fulani hivi, huko wizarani pako njema tu hivyo hiyo 5m ataipata tu
YeahInaonekana mshahara na marupurupu yanamshawishiiii
Achana na alteza kama million tano yenyewe unakusanya mwaka mzima huiweziJe toyota alteza