Kumbe Leo ni 10/12/2016 Kuna Vuta Nkuvute!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Hahahahahahaha.......Usishangae kwanini ninacheka! Lakini Hata wewe ukifahamu kwa nini ninacheka utaungana Na Mimi kucheka! kama ulikuwa hujui Dar Leo Kuna vita ya chini chini inaendelea Katika Tasnia ya mziki

Darasa alisema Unataka kukimbia Na hauna Break what do u expect? Leo ni vita ya Wasanii kuperform wapi,Leo ni vita ya Clouds Fm Na EAst Afrika Fm,Leo ni vita ya Clouds Tz Na EATV

LEO ni vita Kati ya After School Bash Na EATV awards! Kama ulikuwa hujui ujue Leo kuwa kila msanii Leo anavutia upande wake! Kwa kuanza Tu Jaribu kutembelea page ya DIAMOND PLATNUMZ NA ALIKIBA utajua kila mmoja yupo upande Gani?

I wish diamond angekuwepo Bongo Leo Na Awe anaperform pale Escape One wakati mwingine akiwa anaperform pale Mlimani City hapo ndo ungejua lakini kiukweli Diamond Leo yupo upande was After school bash Na ALIKIBA yupo upande wa EATV AWARDS Na story za chini chini nikuwa clouds wameamua kufanya hivi kuonesha umwamba wao wa kujaza watu! Mimi najiuliza watu wataenda wapi Leo kwa wale wapenda mziki?

Leo ndo Itajulikana kama msanii anapendwa kiukweli Au kinafiki!! Izi vita ndo nzuri za kupiga pesaaaa Ila naona kama Kuna upande utakosa watu hiviii Mimi sijui!

Kwa watu wa Mikoani poleni sana Ila Kwa nyanda za Juu kusini pale Iringa Samora ERROR BASHIRI mnyamaaaaaaa naye hayupo nyuma anakiwasha Na Mtikisiko wake pale atakuwa Na Snura Na Wengine!

Sasa Najiuliza kwa Wasanii wale waafter school bash, mbona EATV AWARDS Inakosa mvuto!

Wewe Leo upo upande gani
 
Umezidi utoto kwenye post yako na wewe EATV INA hadhi kuliko hyo bash ya watoto hata viingilio vya Eatv si vya kitoto. Hata hao clouds wanahtaji kukua wanapenda figisu figisu tu hawajifunzi kwenye tuzo kama MTv awards
 
Bro, acha mambo ya kuchonganisha wasanii na vyombo vya habari, kwajinsi ninavyoona ni kama WCB shoo yao ya 24/12/2016 imenunuliwa na Clouds so kinachofanyika sasa ni kuanza kuwapigia debe wao kisha waungane kwa pamoja kwenye kupromoti hiyo shoo ya WCB. Hebu angalia hili tangazo hapo,usikie sauti ya B.dozen.
 
Wabongo hebu muwe mnazoea ushindani wa kibiashara, ni mambo ya kawaida kutunkshiana misuli.

Ila wakubwa woote, na wapenda muziki leo tutakuwa kwenye EATV award, japo wamenikera nominees kuchukua form.
 
Sio Error anaitwa Edo bashir (Edwin bashir)
After schoo bash yenyewe inaisha saa moja
 
ivi ilikuwaje hao basata waliwanyima clouds kibali cha kuanzisha tuzo zao kipindi kile 2005 halafu wakaja kuwapa kilaini hawa east africa
 
Cc wa Tz n watu wakukurupuka kabsaa yaan wasanii wanatengenezewa bfu il Mead watu wachache wapate pesa zao na bfu lnanoga pale tu msanaii anapotaka kutoa nymbo mpyaa Dai altengeneza ishu ya kutoka na mobeto ikavumaa kumbe alkua na video ya salome na watu wakashawshka kuichungulia u tub kauwasha na dmpoz il kokoro ifatliwe na Ommy akatoa kajiandae bado hatushtuk tunashadidia upuuz alietoroga aongeze uban
 
Dares-salaam ina watu wengi sana hakuna show ya kukosa watu......
Hata hivyo EATV huwa hawafanyi vitu kwa kushindana na kwenye hilo nawasifu....huwa hawana kelele..
Kwa hizo show kila show ina hadhi yake tofauti na ina kila aina ya watu watakao kwenda.
Mtu mzima hawezi kwenda kwenye after school bash....
 
ivi ilikuwaje hao basata waliwanyima clouds kibali cha kuanzisha tuzo zao kipindi kile 2005 halafu wakaja kuwapa kilaini hawa east africa
Kwasababu clouds kuna baadhi ya wasanii hawapatani nao so wasingekuwa fair kwenye nomination na washindi
 
Majungu,uchonganishi,wivu,umbea ni jadi ya MTZ
 
Kauwasha na dimpoz ili kokoro ifatiliwe, na dimpoz katoa kajiandae.
Mkuu mbona unatudanganya as if tunaishi nanjilinjili na we unaishi mjini pekeako?
 
Reactions: G 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…