ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Hahahahahahaha.......Usishangae kwanini ninacheka! Lakini Hata wewe ukifahamu kwa nini ninacheka utaungana Na Mimi kucheka! kama ulikuwa hujui Dar Leo Kuna vita ya chini chini inaendelea Katika Tasnia ya mziki
Darasa alisema Unataka kukimbia Na hauna Break what do u expect? Leo ni vita ya Wasanii kuperform wapi,Leo ni vita ya Clouds Fm Na EAst Afrika Fm,Leo ni vita ya Clouds Tz Na EATV
LEO ni vita Kati ya After School Bash Na EATV awards! Kama ulikuwa hujui ujue Leo kuwa kila msanii Leo anavutia upande wake! Kwa kuanza Tu Jaribu kutembelea page ya DIAMOND PLATNUMZ NA ALIKIBA utajua kila mmoja yupo upande Gani?
I wish diamond angekuwepo Bongo Leo Na Awe anaperform pale Escape One wakati mwingine akiwa anaperform pale Mlimani City hapo ndo ungejua lakini kiukweli Diamond Leo yupo upande was After school bash Na ALIKIBA yupo upande wa EATV AWARDS Na story za chini chini nikuwa clouds wameamua kufanya hivi kuonesha umwamba wao wa kujaza watu! Mimi najiuliza watu wataenda wapi Leo kwa wale wapenda mziki?
Leo ndo Itajulikana kama msanii anapendwa kiukweli Au kinafiki!! Izi vita ndo nzuri za kupiga pesaaaa Ila naona kama Kuna upande utakosa watu hiviii Mimi sijui!
Kwa watu wa Mikoani poleni sana Ila Kwa nyanda za Juu kusini pale Iringa Samora ERROR BASHIRI mnyamaaaaaaa naye hayupo nyuma anakiwasha Na Mtikisiko wake pale atakuwa Na Snura Na Wengine!
Sasa Najiuliza kwa Wasanii wale waafter school bash, mbona EATV AWARDS Inakosa mvuto!
Wewe Leo upo upande gani