Kumbe Leo ni 10/12/2016 Kuna Vuta Nkuvute!

Kumbe Leo ni 10/12/2016 Kuna Vuta Nkuvute!

Clouds wanapenda ligi..!!

Watajaza tu vitoto kama kawaida yao
Na kwenye hili la tuzo EATV wamewapiga bao Clouds after two or three years itakuwa ni event kubwa sana inayopendwa na watu... Nice move EATV msirudi nyuma tu
 
Bro, acha mambo ya kuchonganisha wasanii na vyombo vya habari, kwajinsi ninavyoona ni kama WCB shoo yao ya 24/12/2016 imenunuliwa na Clouds so kinachofanyika sasa ni kuanza kuwapigia debe wao kisha waungane kwa pamoja kwenye kupromoti hiyo shoo ya WCB. Hebu angalia hili tangazo hapo,usikie sauti ya B.dozen.

Mkuu naona umeanza kuishiwa vya kuandika sasa... mbona unaenda nje ya mada?
 
ivi ilikuwaje hao basata waliwanyima clouds kibali cha kuanzisha tuzo zao kipindi kile 2005 halafu wakaja kuwapa kilaini hawa east africa
Clouds wapiga hela tu wanatumia vitu au watu wanaotrend kupiga pesa
 
Back
Top Bottom