Kumbe leo nimetimiza miaka 6 nikiwa member wa JF

Kumbe leo nimetimiza miaka 6 nikiwa member wa JF

Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
9,314
Reaction score
7,149
Aiseee, miaka inasonga na hii JF imetufanya tumekuwa kama walevi vile. Yaani kufumba na kufumbua tayari nimegonga 6 years nikiwa member wa JF. Kwa kweli wakuu nimekuwa siyo mchoyo kwa mambo mengi.

Nimeangalia records zangu kule nakuta kwamba nimepokea likes 854 na nime-like 855. Hii imenishangaza sana utafikri nilipanga kwamba Madame B aki-like nami namgongea like kumbe sivyo.

Jamani namtolea mfano Madame B maana kule kwenye jukwaa pendwa tangu nilivyojiunga alikuwa anatisha, ingawa sasa hivi naona uzee umenisonga hata nimejikuta nimepoteza shauku ya kuchunguliachungulia kwenye jukwaa pendwa.

Asante nyingi kwake yeye aliyebuni kuanzisha JF imetufunza mengi na inatusaidia kutibu Magufulisiosis. Maana ukiingia JF hata kama ulikuwa na msongo wa mawazo hakika utaondoka within a short time.
 
"It always seems impossible until it's done
 
yaani mie addiction niliyokuwa nayo na JF hadi najishangaa,nafikiri nikiwaga ofisini tu ndio huwa siingii,imenifanya niwe na maarifa mengi sana kwa kweli,mimi hata sijui huko fb,insta sina habari napo kabisaa,thanx JF kwa kuwa nachokisoma leo ndicho kitakachoandikwa kesho ktk magazeti yao,hapa ni kisima cha habari kwa kweli,mimi nilijiunga 2011
 
Back
Top Bottom