Kumbe LIBOLO FC ndio waliomfukuza Malkia wa Nyuki Simba!

Ujinga wa simba na yanga ndio huwa unasababisha vipigo vya 4G huko nje. Leo simba anatolewa kwa ujinga wa kipa kujifanya anajua,hizi timu zitaendelea kudidimiza mpira wa Tanzania hadi lini?kwanini ligi isiwe ya haki ili tuwe na wawakilishi bora?
 
Ligi tu ( yenye akina ndanda na African Lyon) imewashinda....

Eti Leo mkashindane na akina ES Du Sahel....

Mnachekeshaga sana...mnaongoza kuwa na matarajio yasiyokuwa na uhalisia .
Nakuru nayo imewashinda!
 
Huyo mama mbahiri sana kwanza namuonaga bandarini hapo akijaga kuchukua mizigo yake hata vibarua wanalalamika anawapunja hela wakimfanyia kazi zake..
Sio yule wa bandarini... Yule wa bandarini walimpa jina wakati kaingia huku upande wa pili Simba ndio mama anawaka so yule wa bandarini jina hilo analo hadi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…