Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjini tulikaa kwa raha sana...
Hawa Jamaa waliwapiga 4G Mikia FC tena kipindi kile Mikia FC iko kwenye ubora wao!
Nakuru nayo imewashinda!Ligi tu ( yenye akina ndanda na African Lyon) imewashinda....
Eti Leo mkashindane na akina ES Du Sahel....
Mnachekeshaga sana...mnaongoza kuwa na matarajio yasiyokuwa na uhalisia .
Sio yule wa bandarini... Yule wa bandarini walimpa jina wakati kaingia huku upande wa pili Simba ndio mama anawaka so yule wa bandarini jina hilo analo hadi leoHuyo mama mbahiri sana kwanza namuonaga bandarini hapo akijaga kuchukua mizigo yake hata vibarua wanalalamika anawapunja hela wakimfanyia kazi zake..