Kumbe lisemwalo lipo kweli!

Kumbe lisemwalo lipo kweli!

Kikubwa mlifika Mwanza salama mengine muachie dereva na dhambi zake
 
Tulikuwa tunasafiri kikazi na dereva wetu. Tukafika kwenye mji fulani akasema gari imeharibika linahitaji matengenezo. mwisho wa siku ikabidi tulale mpaka asubuhi. Ajabu gari asubuhi ikawaka bila shida. Baadaye tukaja kujua kwamba alikuwa na mchepuko wake pale. We acha tu maana hiki kitu kinaumiza wengi.
 
Huyo dem ni malaya wakutupwa amini kwamba. Dem wa kawaida hawezi kufunguka kizembe hivo hata iweje [emoji23]
 
Back
Top Bottom