Kufanya Vizuri yule mi Napinga ! Aah
We kichwa kile chakusoma muda gani kile ! Hata kama ndo kubalance kwenyewe!
Mtangazaji mwenzie yule domo zege! Anawaza starehe tu !
Faiza mwenyewe ndo majanga tu! Ila labda kwasabu who knows! Lakin kufauru yule mi ntapinga ever !
alifanya vizur mkuu, alikuwa nasoma shule nzuri pia, yuko bright huyo dogo mkuu
Kusoma shule nzuri siyo tatizo mkuu !
Babaake si unajua Simba wa Yuda ! Kwanini asimsomeshe shule nzuri !
Ila Kufanya vizuri yule ! Mmmmh BIG RESULT NOW !
alifanya vizuri coz nakumbuka nilifatilia matokeo yake yale ya kwanza kabla hayajatoka ya pili nikasikia alifanya poa.
Hapo ndo ulipo nichanganya mimi !
Huyo mtoto hajamaliza 2012 nakumbuka !
Tafuta skonga video youtube walikafuata mpaka shuleni !
Kapo vizuri sana kale , yaan ukikakuta bila make up dah yupo safi halafu hana tabia za kiswazi , hana maringo
Tunamuongelea mama wa faiza kale katoto katangazaj ka five select
Aaah aa lol