Kumbe Lulu Michael na Faiza ni mapacha

Kumbe Lulu Michael na Faiza ni mapacha

Mi nimefungua fasta nikiamini namwona faizafox kumbe walimbwende?
 
Kufanya Vizuri yule mi Napinga ! Aah
We kichwa kile chakusoma muda gani kile ! Hata kama ndo kubalance kwenyewe!

Mtangazaji mwenzie yule domo zege! Anawaza starehe tu !

Faiza mwenyewe ndo majanga tu! Ila labda kwasabu who knows! Lakin kufauru yule mi ntapinga ever !

alifanya vizur mkuu, alikuwa nasoma shule nzuri pia, yuko bright huyo dogo mkuu
 
alifanya vizur mkuu, alikuwa nasoma shule nzuri pia, yuko bright huyo dogo mkuu

shut_l.gif

Kusoma shule nzuri siyo tatizo mkuu !
Babaake si unajua Simba wa Yuda ! Kwanini asimsomeshe shule nzuri !

Ila Kufanya vizuri yule ! Mmmmh BIG RESULT NOW !

shut_l.gif
 
shut_l.gif

Kusoma shule nzuri siyo tatizo mkuu !
Babaake si unajua Simba wa Yuda ! Kwanini asimsomeshe shule nzuri !

Ila Kufanya vizuri yule ! Mmmmh BIG RESULT NOW !

shut_l.gif

alifanya vizuri coz nakumbuka nilifatilia matokeo yake yale ya kwanza kabla hayajatoka ya pili nikasikia alifanya poa.
 
alifanya vizuri coz nakumbuka nilifatilia matokeo yake yale ya kwanza kabla hayajatoka ya pili nikasikia alifanya poa.

Hapo ndo ulipo nichanganya mimi !

Huyo mtoto hajamaliza 2012 nakumbuka !

Tafuta skonga video youtube walikafuata mpaka shuleni !
 
Hapo ndo ulipo nichanganya mimi !

Huyo mtoto hajamaliza 2012 nakumbuka !

Tafuta skonga video youtube walikafuata mpaka shuleni !

amemaliza mwaka jana nahisi, hivi yale yalofutwa ni mwaka juzi, nimeshasahau
 
amemaliza mwaka jana nahisi, hivi yale yalofutwa ni mwaka juzi, nimeshasahau

Kapo vizuri sana kale , yaan ukikakuta bila make up dah yupo safi halafu hana tabia za kiswazi , hana maringo
 
Kapo vizuri sana kale , yaan ukikakuta bila make up dah yupo safi halafu hana tabia za kiswazi , hana maringo

Daa warumi umemwelewa sana aiseeh itabidi akupe uonje siyo siri !
 
Last edited by a moderator:
Kapo vizuri sana kale , yaan ukikakuta bila make up dah yupo safi halafu hana tabia za kiswazi , hana maringo

anaonyesha tu, halafu anasema mamake yuko strict nae, kuna siku alihojiwa kwenye kipindi chao kuhusu masomo na kazi yake
 
ina maana LuLu anatafuta kwa mi babazi ! Afu mama yake ana honga! Vijana?

Dunia hii bwana !

Tunamuongelea mama wa faiza kale katoto katangazaj ka five select
 
Ndugu yako Nina ushamba na utumiaj wa hay mambo humu , nilibahatisha kujua Ku quote t u

hahaaa
unaingia kwenye option ya EDIT alafu utaona sehemu ya Delete !

warumi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom