Kumbe Lulu Michael na Faiza ni mapacha

Kumbe Lulu Michael na Faiza ni mapacha

Haaa kafika Chuo lini tena?
Mwaka 2012 nakumbuka alikuwa form 3 ! Au kisa baba ake Simba wa Yuda !

Yupo U.S.A baba yake yuko njema hatar kifedha, yule mtoto wa kushua haswaa trip za majuu kwao kama wanaenda kariakoo, kukaa ulaya kwao ni kawaida sana.
 
kwahiyo Shule yenyewe ! Aliacha?
Mana babaake Simba wa Yuda! Utakuta mtoto kichwani hamna kitu !

Ila mi nilikaona ni kaku feli feli tu kale ! Akili yenyewe sidhani kama ilikwepo kichwani pale !
 
Kapo vizur, kanajielewa na alimaliza form four pale esacs nadhan, atakuwa anasoma collage USA.
 
anhaa
afu FB kanatumia jina gani?
Nataka nijaribu kusoma Massage zake kama ntaweza !

Mmh kwa lugha tu yupo vizur hatar, English na French anapiga hatar , kuna account mpya anatumia anajiita faiza Sijui movic Nani nani ila najua mdingi wake anaitwa haider , mzee ana mawe hatar halaf maza wake young tuu
 
umenifurahisha kwenye red hapo !
English na kifaransa hata diamond akijifunza tu ataweza lakini! Kichwani atabaki vile vile Bogas ! Hahaaa
 
yupo u.s.a baba yake yuko njema hatar kifedha, yule mtoto wa kushua haswaa trip za majuu kwao kama wanaenda kariakoo, kukaa ulaya kwao ni kawaida sana.

na umbea wako..faiza yuko ufaransa na ungekua gossip cop kweli ungegundua insta anavyoandika kifaransa
 
anhaa
umenifurahisha kwenye red hapo !
English na kifaransa hata diamond akijifunza tu ataweza lakini! Kichwani atabaki vile vile Bogas ! Hahaaa

Nikisema anagonga lugha namaanisha hvyo, sio English za kuzijulia utu uziman, kwa kifupi kweny lugha yupo fresh tena binamu usijishaue mbele yake kama una English ya kuji introduce your self.
 
Ma super stars wenye majina makubwa kuliko umri wao , Lulu Michael na Faiza haider wamejikuta waki share Birthdays zao mwezi mmoja, Siku moja na tarehe moja yaan 16/4. Wawili ambao ambao licha ya Ku share birthdays zao unaambiwa wamefanana karibia kila kitu , mavazi yao, mionekano yao hata umri pia haipishani sana.

Lulu Michael ambaye amejipatia umaarufu kupitia fani ya uigizaji , Faiza haider naye amejipatia umaarufu huo kupitia utangazaji ambao hata lulu naye alianzia uko, hata wenyewe pia wanajiita mapacha uko mitaani..

attachment.php

Use.nge mtupu babake.
 
Nikisema anagonga lugha namaanisha hvyo, sio English za kuzijulia utu uziman, kwa kifupi kweny lugha yupo fresh tena binamu usijishaue mbele yake kama una English ya kuji introduce your self.

Nilimsoma bwana kwenye ! 5 Select !
Anaweza kumpoteza Damond ! Labda !

Afu nimetafuta account yake fb sijaiyona aisee !
Naona akina Faiza haider wengine kabisa !
 
Kuna jina lake jipya hata marafiki sio wengi kama 80 ivi
 
Mmh kwa lugha tu yupo vizur hatar, English na French anapiga hatar , kuna account mpya anatumia anajiita faiza Sijui movic Nani nani ila najua mdingi wake anaitwa haider , mzee ana mawe hatar halaf maza wake young tuu

Mkuu nisaidie namba ya Maza wake,kuna dili nataka nilonge nae
 
Haaa kafika Chuo lini tena?
Mwaka 2012 nakumbuka alikuwa form 3 ! Au kisa baba ake Simba wa Yuda !

alimaliza form 4, alifanya vizuri akapelekwa mbele na wazazi wake nlivyosikia
 
Kufanya Vizuri yule mi Napinga ! Aah
We kichwa kile chakusoma muda gani kile ! Hata kama ndo kubalance kwenyewe!

Mtangazaji mwenzie yule domo zege! Anawaza starehe tu !

Faiza mwenyewe ndo majanga tu! Ila labda kwasabu who knows! Lakin kufauru yule mi ntapinga ever !
 
Domo zege au mliwa tigo maaruf apa mjin
 
Search faiza fariuk movic

Back
Top Bottom