pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Halafu amefanana sana na Ebitoke, kkkk.....!This Kenyan lady is brilliant! Wanigeria walinung'unika sana hivi majuzi kuhusu Lupita Nyong'o kuigiza kama Ifemelu, lead character wa kinigeria, kwenye filamu ya Americanah. Sikujua kwamba zilikuwa ni kelele tu, bila formular. Hizi taarifa za 2014, ambazo nimezipata mitandaoni zimefanya nikamheshimu sana huyu dada kwa kujituma kwake. Lupita Nyong'o alinunua 'film rights' za Americanah mwaka wa 2014! Kutoka kwa mwandishi wa kitabu hicho, Chimamanda Adichie. Filamu hiyo ya Americanah imekuwa ni 'brainchild' ya Lupita Nyong'o tangu mwanzo. Yaani hawa wanigeria walikuwa wanalialia kuhusu Lupita kuigiza kwenye filamu ambayo ameifanikisha yeye mwenyewe. Hawakukusosea waliposema kwamba, ukiona vyaelea jua vimeundwa. Nimejifunza kitu. https://www.cosmopolitan.com/uk/entertainment/news/a27053/lupita-nyongo-americanah-new-film-adichie/
We pingili za nywele acha kujikomba nyie fani yenu ni kung'oana mambupu tuThis Kenyan lady is brilliant! Wanigeria walinung'unika sana hivi majuzi kuhusu Lupita Nyong'o kuigiza kama Ifemelu, lead character wa kinigeria, kwenye filamu ya Americanah. Sikujua kwamba zilikuwa ni kelele tu, bila formular. Hizi taarifa za 2014, ambazo nimezipata mitandaoni zimefanya nikamheshimu sana huyu dada kwa kujituma kwake. Lupita Nyong'o alinunua 'film rights' za Americanah mwaka wa 2014! Kutoka kwa mwandishi wa kitabu hicho, Chimamanda Adichie. Filamu hiyo ya Americanah imekuwa ni 'brainchild' ya Lupita Nyong'o tangu mwanzo. Yaani hawa wanigeria walikuwa wanalialia kuhusu Lupita kuigiza kwenye filamu ambayo ameifanikisha yeye mwenyewe. Hawakukusosea waliposema kwamba, ukiona vyaelea jua vimeundwa. Nimejifunza kitu. https://www.cosmopolitan.com/uk/entertainment/news/a27053/lupita-nyongo-americanah-new-film-adichie/
And?
Pitia kwenye uzi huu, ndio uelewe naongea kuhusu nini.We pingili za nywele acha kujikomba nyie fani yenu ni kung'oana mambupu tu
So?...it doesn't concern you, grandpa.
Ebitoke ndio nani? Hebu nitajie filamu ambazo ameigiza kule Hollywood, kama mbili hivi, ndio nimfahamu vizuri.Halafu amefanana sana na Ebitoke, kkkk.....!
Ndugu yangu mm nachezaga na flow tu ya humuhumuPitia kwenye uzi huu, ndio uelewe naongea kuhusu nini.Wanaijeria wafyatuka na kulalamika kwanini Mkenya Lupita ameteuliwa kuigiza kwenye filamu kama Mnijeria - JamiiForums
Wanahoji ina maana Nigeria yote hakuna mmoja wao anayeigiza kama wao hadi atafutwe Mkenya...www.jamiiforums.com
Learn from Lupita na ujitume katika maisha yako Mkikuyu Akili Timamu. Lupita kanunua film rights 2014 wakati Wanigeria wamelala usingizi fofofo kisha leo wanakuja kuangua kilio kwamba hawataki Lupita aigize kama Mnigeria.And?
Wewe ni shoga tu ndio maana unadhani kila mtu ni shoga kama wewe.Huyu kaolewa na mwanamke mwenzie
Jinyonge πππ
Unamsikilia mwanamke Wivu ππ π πππHuyu kaolewa na mwanamke mwenzie
brilliant , mtoto kama huyu ukimuoa, yani hata kupiga mashine inabidi kubembeleza, maana ana akili mingi mno,This Kenyan lady is brilliant! Wanigeria walinung'unika sana hivi majuzi kuhusu Lupita Nyong'o kuigiza kama Ifemelu, lead character wa kinigeria, kwenye filamu ya Americanah. Sikujua kwamba zilikuwa ni kelele tu, bila formular. Hizi taarifa za 2014, ambazo nimezipata mitandaoni zimefanya nikamheshimu sana huyu dada kwa kujituma kwake. Lupita Nyong'o alinunua 'film rights' za Americanah mwaka wa 2014! Kutoka kwa mwandishi wa kitabu hicho, Chimamanda Adichie. Filamu hiyo ya Americanah imekuwa ni 'brainchild' ya Lupita Nyong'o tangu mwanzo. Yaani hawa wanigeria walikuwa wanalialia kuhusu Lupita kuigiza kwenye filamu ambayo ameifanikisha yeye mwenyewe. Hawakukusosea waliposema kwamba, ukiona vyaelea jua vimeundwa. Nimejifunza kitu. https://www.cosmopolitan.com/uk/entertainment/news/a27053/lupita-nyongo-americanah-new-film-adichie/
Alafu nimeona Chimamanda akisema kwamba zamani kabla ya Lupita kufahamika na kutinga Hollywood kwa kishindo alikuwa amemuandikia email. Kuhusu kitabu chake hicho, akimueleza kwamba alikuwa amevutiwa na maudhui na kila kitu kuhusu Americanah.Learn from Lupita na ujitume katika maisha yako Mkikuyu Akili Timamu. Lupita kanunua film rights 2014 wakati Wanigeria wamelala usingizi fofofo kisha leo wanakuja kuangua kilio kwamba hawataki Lupita aigize kama Mnigeria.
Yeah right! but Nigerian Entertainment Industry makes that of Kenya look like a kindergarten baby.Lupita was actually in Lagos, Nigeria, early last year, with Dani Gurira the film's show runner, researching the Americanah film Project. Why lie this is real dedication. Cc. Malcom Lumumba.
She has kissable lipsπ π π ππππ right geza ulole ππ?πππ