Kumbe Lupita Nyong'o alinunua 'film rights' za kitabu cha Americanah mwaka wa 2014?

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
14374499_1588810508089200_3993524831646646272_n.jpg
This Kenyan lady is brilliant! Wanigeria walinung'unika sana hivi majuzi kuhusu Lupita Nyong'o kuigiza kama Ifemelu, lead character wa kinigeria, kwenye filamu ya Americanah. Sikujua kwamba zilikuwa ni kelele tu, bila formular. Hizi taarifa za 2014, ambazo nimezipata mitandaoni zimefanya nikamheshimu sana huyu dada kwa kujituma kwake. Lupita Nyong'o alinunua 'film rights' za Americanah mwaka wa 2014! Kutoka kwa mwandishi wa kitabu hicho, Chimamanda Adichie. Filamu hiyo ya Americanah imekuwa ni 'brainchild' ya Lupita Nyong'o tangu mwanzo. Yaani hawa wanigeria walikuwa wanalialia kuhusu Lupita kuigiza kwenye filamu ambayo ameifanikisha yeye mwenyewe. Hawakukusosea waliposema kwamba, ukiona vyaelea jua vimeundwa. Nimejifunza kitu. https://www.cosmopolitan.com/uk/entertainment/news/a27053/lupita-nyongo-americanah-new-film-adichie/
 
Halafu amefanana sana na Ebitoke, kkkk.....!
 
We pingili za nywele acha kujikomba nyie fani yenu ni kung'oana mambupu tu
 
Halafu amefanana sana na Ebitoke, kkkk.....!
Ebitoke ndio nani? Hebu nitajie filamu ambazo ameigiza kule Hollywood, kama mbili hivi, ndio nimfahamu vizuri.
 
Learn from Lupita na ujitume katika maisha yako Mkikuyu Akili Timamu. Lupita kanunua film rights 2014 wakati Wanigeria wamelala usingizi fofofo kisha leo wanakuja kuangua kilio kwamba hawataki Lupita aigize kama Mnigeria.
 
lupita.jpg
Lupita was actually in Lagos, Nigeria, early last year, with Dani Gurira the film's show runner, researching the Americanah film Project. Why lie this is real dedication. Cc. Malcom Lumumba.
 
14374499_1588810508089200_3993524831646646272_n.jpg
This Kenyan lady is brilliant! Wanigeria walinung'unika sana hivi majuzi kuhusu Lupita Nyong'o kuigiza kama Ifemelu, lead character wa kinigeria, kwenye filamu ya Americanah. Sikujua kwamba zilikuwa ni kelele tu, bila formular. Hizi taarifa za 2014, ambazo nimezipata mitandaoni zimefanya nikamheshimu sana huyu dada kwa kujituma kwake. Lupita Nyong'o alinunua 'film rights' za Americanah mwaka wa 2014! Kutoka kwa mwandishi wa kitabu hicho, Chimamanda Adichie. Filamu hiyo ya Americanah imekuwa ni 'brainchild' ya Lupita Nyong'o tangu mwanzo. Yaani hawa wanigeria walikuwa wanalialia kuhusu Lupita kuigiza kwenye filamu ambayo ameifanikisha yeye mwenyewe. Hawakukusosea waliposema kwamba, ukiona vyaelea jua vimeundwa. Nimejifunza kitu. https://www.cosmopolitan.com/uk/entertainment/news/a27053/lupita-nyongo-americanah-new-film-adichie/
brilliant , mtoto kama huyu ukimuoa, yani hata kupiga mashine inabidi kubembeleza, maana ana akili mingi mno,
 
Learn from Lupita na ujitume katika maisha yako Mkikuyu Akili Timamu. Lupita kanunua film rights 2014 wakati Wanigeria wamelala usingizi fofofo kisha leo wanakuja kuangua kilio kwamba hawataki Lupita aigize kama Mnigeria.
Alafu nimeona Chimamanda akisema kwamba zamani kabla ya Lupita kufahamika na kutinga Hollywood kwa kishindo alikuwa amemuandikia email. Kuhusu kitabu chake hicho, akimueleza kwamba alikuwa amevutiwa na maudhui na kila kitu kuhusu Americanah.
 
lupita.jpg
Lupita was actually in Lagos, Nigeria, early last year, with Dani Gurira the film's show runner, researching the Americanah film Project. Why lie this is real dedication. Cc. Malcom Lumumba.
Yeah right! but Nigerian Entertainment Industry makes that of Kenya look like a kindergarten baby.
 
Lupiler Nyong'o
The men dem gon' fall in love
With you and all of your glory
Your skin is not only dark, it shines and it tells your story
Keep dancin', they can't control you
They watchin', they all adore you
 
Back
Top Bottom