Watu waelewe luwa vurugu sio nzuri,matokeo yake ni mabaya,kuna wajawqzito walioshindwa kufikishwq hospital,wagonjwa,watoto hawakwenda shule,vyuo,biashara zilifungwa,hawakwenda magazine,wapo waliouliwa kwa risasi,waliojeruhiwa,wizi na wapo waliovsmia nyumba za watu.Hata kama Ruto ataondoka ajae atafanya nn kuboresha maisha yao? Wanabomoa hata kile kilichopatokana kwashida kwa Kodi zao, ndio Martha Karua anataka kutufundisha hivi tuwe kama wao?
View: https://youtu.be/GF2phAJ9_4o?si=tucl1UWNHZzqXZj7
View: https://youtu.be/fJ5USRBsM-Y?si=2McBkDNFYy6HF8hx
Hivi wewe mtu mzima bado unataka kufundishwa? Ndiyo maana Ccm mpaka leo wanatuongoza. Hizi akili za kijinga sanaHata kama Ruto ataondoka ajae atafanya nn kuboresha maisha yao? Wanabomoa hata kile kilichopatokana kwashida kwa Kodi zao, ndio Martha Karua anataka kutufundisha hivi tuwe kama wao?
View: https://youtu.be/GF2phAJ9_4o?si=tucl1UWNHZzqXZj7
View: https://youtu.be/fJ5USRBsM-Y?si=2McBkDNFYy6HF8hx
Kwa hiyo wewe unataka watu wauliwe,waibe mali za watu,wagonjwa na wajawazito wakose kufikishwa hospital,mpaka hospital wamevunja kws mawe,na madaktari na wauguzi kukimbia,kuchoma magari,kuiba maduksni na majumbani,kujosa kwenda kazini,biashara kufungwq,kuwaibia watu majumbani,ni ujinga huu.Hivi wewe mtu mzima bado unataka kufundishwa? Ndiyo maana Ccm mpaka leo wanatuongoza. Hizi akili za kijinga sana
Wakenya ni wajinga sana.Wanaharibu walivyojenga kwa kodi zao Haya huo Umojacwa Ulaya,waingilie hapo,na Bunge lao.Hspo kumeuliwq watu 10,na wengine kadhaa kujeruhiwa,kwa ujinga wa maandamano.Na wizi wa madukani na majumbani,kuharibu hospital mpska madaktari wamekimbia,watoto hawakwenda shule,watu hawakwenda makazini.Biashars zinefugwa Wajawazito wamekosa kujifungua hospital nkUnafki kitu kibaya ssna.
ukiwa Mwanaume jitahidi kupunguza Unafki.
Kama maana ya kukinukisha tena "kukinukisha vibaya sana" inamaanisha Tanzania na watanzania tunatakiwa tupitie haya basi kuna haja ya kuwasihi watanzania wenzetu hawa wafikirie upya, na kama watashupaza shingo zao tuhangaike nao mapema ili tusifike kule waliko wenzetu Kenya.Watu waelewe luwa vurugu sio nzuri,matokeo yake ni mabaya,kuna wajawqzito walioshindwa kufikishwq hospital,wagonjwa,watoto hawakwenda shule,vyuo,biashara zilifungwa,hawakwenda magazine,wapo waliouliwa kwa risasi,waliojeruhiwa,wizi na wapo waliovsmia nyumba za watu.
Akina TAL wanaumiza ngoma za masikio yetu kutuambia tuwe na katiba kama ya Kenya, eti tushinde barabarani TUKIKINUKISHA KUandamana na kuchoma moto reli na mabwawa yetu yanayozalisha umeme tuliyoyajenga kwa taaabu sana kwa kodi na mikopo ambayo lazima tuilipe. Nilishasemaga kwamba mjinga na maskini huwezi kumpatia demokrasia pana, anaweza kujiunguza yeye mwenyewe. Watu wetu bado ni wajinga sana, hawazijui siasa za kimataifa na wazungu, hawajui nani anasema kweli na nani anawaongopea; na ni maskini sana kiasi kwamba anaweza kufanya chochote ili kupata chakula, nguo, malazi na matibabu (physiologic needs). Siungi mkono demokrasia pana sana katika level hii, bado tuko kwenye stage ya kuwaswaga watu kwa nguvu waende shambani wakalime badala kuzurura mitaani kuuza pea mbili za viatu mitaani.Wakenya ni sawa na Mgema,ukimsifia sana tembo ulitia maji.
Kwahiyo haya yote uliyoandika ndiyo unata kufundishwa kuwa siyo mambo mazuri?Kwa hiyo wewe unataka watu wauliwe,waibe mali za watu,wagonjwa na wajawazito wakose kufikishwa hospital,mpaka hospital wamevunja kws mawe,na madaktari na wauguzi kukimbia,kuchoma magari,kuiba maduksni na majumbani,kujosa kwenda kazini,biashara kufungwq,kuwaibia watu majumbani,ni ujinga huu.
Akili hizi ndiyo zilisababisha Jiwe akawa Rais.Akina TAL wanaumiza ngoma za masikio yetu kutuambia tuwe na katiba kama ya Kenya, eti tushinde barabarani TUKIKINUKISHA KUandamana na kuchoma moto reli na mabwawa yetu yanayozalisha umeme tuliyoyajenga kwa taaabu sana kwa kodi na mikopo ambayo lazima tuilipe. Nilishasemaga kwamba mjinga na maskini huwezi kumpatia demokrasia pana, anaweza kujiunguza yeye mwenyewe. Watu wetu bado ni wajinga sana, hawazijui siasa za kimataifa na wazungu, hawajui nani anasema kweli na nani anawaongopea; na ni maskini sana kiasi kwamba anaweza kufanya chochote ili kupata chakula, nguo, malazi na matibabu (physiologic needs). Siungi mkono demokrasia pana sana katika level hii, bado tuko kwenye stage ya kuwaswaga watu kwa nguvu waende shambani wakalime badala kuzurura mitaani kuuza pea mbili za viatu mitaani.
Una hoja, ni vema kuona mambo kwa mtindo huuAkina TAL wanaumiza ngoma za masikio yetu kutuambia tuwe na katiba kama ya Kenya, eti tushinde barabarani TUKIKINUKISHA KUandamana na kuchoma moto reli na mabwawa yetu yanayozalisha umeme tuliyoyajenga kwa taaabu sana kwa kodi na mikopo ambayo lazima tuilipe. Nilishasemaga kwamba mjinga na maskini huwezi kumpatia demokrasia pana, anaweza kujiunguza yeye mwenyewe. Watu wetu bado ni wajinga sana, hawazijui siasa za kimataifa na wazungu, hawajui nani anasema kweli na nani anawaongopea; na ni maskini sana kiasi kwamba anaweza kufanya chochote ili kupata chakula, nguo, malazi na matibabu (physiologic needs). Siungi mkono demokrasia pana sana katika level hii, bado tuko kwenye stage ya kuwaswaga watu kwa nguvu waende shambani wakalime badala kuzurura mitaani kuuza pea mbili za viatu mitaani.
Naam shekheHata kama Ruto ataondoka ajae atafanya nn kuboresha maisha yao? Wanabomoa hata kile kilichopatokana kwashida kwa Kodi zao, ndio Martha Karua anataka kutufundisha hivi tuwe kama wao?
View: https://youtu.be/GF2phAJ9_4o?si=tucl1UWNHZzqXZj7
View: https://youtu.be/fJ5USRBsM-Y?si=2McBkDNFYy6HF8hx
Nasi Tanzania tunahitaji ushujaa kama huu, nyie wana CCM mnakują tu hapa kupotosha watu.....Watanzania tuamkeni nasi tuwaige Wakenya kwa ujasiri walionao. Big Up Kenya✊🏽🫡Hata kama Ruto ataondoka ajae atafanya nn kuboresha maisha yao? Wanabomoa hata kile kilichopatokana kwashida kwa Kodi zao, ndio Martha Karua anataka kutufundisha hivi tuwe kama wao?
View: https://youtu.be/GF2phAJ9_4o?si=tucl1UWNHZzqXZj7
View: https://youtu.be/fJ5USRBsM-Y?si=2McBkDNFYy6HF8hx
Jaribu uoneNasi Tanzania tunahitaji ushujaa kama huu, nyie wana CCM mnakują tu hapa kupotosha watu.....Watanzania tuamkeni nasi tuwaige Wakenya kwa ujasiri walionao. Big Up Kenya✊🏽🫡
Siku itakują tu...."No Reform, No Election."✊🏽Jaribu uone