jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Penye uzia penyeza rupia!
Kumbe mbwembwe zote zile za maandamano ya GEN Z huko Kenya nilidhani inatokana na hisia kamili za Wanaojiita Gen Z kumbe kuna mabwanyenye ambao inawezekana mirija yao ya kunyonya fedha imekatwa.
Shime vijana wetu ingieni China...ingieni shambani ingieni kwenye michezo na burudani mjijenge kimaisha na kamwe msitumike na wahuni waliozoea kupiga hela.