Kuna Watu hapa hapa Dar wana gari no A na ni nzuri sana kupita hata no C & D.Unataka kusema kanda ya ziwa no.D na E hayajafika? au ulimaanisha nini kusema enzi hizo dar kulikuwa na no.c nyingi?enzi hizo lini na sasa hivi hali ikoje?
Kabisa yaani na huwezi ku judge gari kwa kutumia plate no.Kuna Watu hapa hapa Dar wana gari no A na ni nzuri sana kupita hata no C & D.
"Kitunze kikutunze au mali ya Mjomba haina huruma" ni Mtu na Mtu kitabia.
Huko husoma gazeti ya juzi piaUnataka kusema kanda ya ziwa no.D na E hayajafika? au ulimaanisha nini kusema enzi hizo dar kulikuwa na no.c nyingi?enzi hizo lini na sasa hivi hali ikoje?
Wewe kiboko[emoji23][emoji23][emoji23]Huko husoma gazeti ya juzi pia
Hujaweza ya petrolNaihitaji sana Toyota Probox, ila bei yake imesimama haswa.
Ngoja niende kwetu Malinyi nikalime kunde mbaazi mwaka huu nipate japo roba kubwa 100 za kilo 100
100 X 100 X 2500 = 25,000,000/= Tsh.
Hapo naingia showroom mabega juu kabisa.
Asanteni.
Arusha kweli kwa namba A hamjamboSie huku Arusha tumekomaa na namba A na hautuambii kitu na 110 zetu (mandolini) huku mbugani na mkonga 1hz.
Bila kusahau ufuta kaka,Naihitaji sana Toyota Probox, ila bei yake imesimama haswa.
Ngoja niende kwetu Malinyi nikalime kunde mbaazi mwaka huu nipate japo roba kubwa 100 za kilo 100
100 X 100 X 2500 = 25,000,000/= Tsh.
Hapo naingia showroom mabega juu kabisa.
Asanteni.
😃Nilikuwa najiuliza yapo wapi magari yenye Namba C maana kule Dar es Salaam hayaonekani. Miaka ile jiji zima lilikuwa na hayo magari lakini siku hizi hayapo.
Baada ya kutembea Kahama, Maswa, Meatu, Kwimba, Mwanza, Geita, Sengerema, Ukerewe, Chato, Bukoba, Magu, Bunda, Busega, Musoma na Tarime nimefahamu kumbe yalihamia huku.
vijana wa dar kwa kujipakulia minyamaAhaaaa huku dar siku hizi hata D zakutafuta ni E tupu barabarani .
Kuna Watu hapa hapa Dar wana gari no A na ni nzuri sana kupita hata no C & D.
"Kitunze kikutunze au mali ya Mjomba haina huruma" ni Mtu na Mtu kitabia.
Kabisa yaani na huwezi ku judge gari kwa kutumia plate no.
Naona unatafuta kuuza gari lako la zamani.Napendekeza mfumo wa ‘Randomizer’ kwenye usajili wa ‘plate number’ za magari nchini
========================== Badala ya mfumo wa sasa wa ‘TxxxAyy> TxxxByy > TxxxCyy > TxxxDyy , na sasa karibia tunaingia namba ‘E’ , ambapo mtu anakuwa anajua kabisa kwamba gari hii imesajili ya zamani au ni mpya. Napendekeza namba zinazofuata baada ya kuisha kwa namba ‘D’ ziwe katika mfumo wa...www.jamiiforums.com