Kumbe magari yenye Namba C yalihamia Kanda ya Ziwa

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Nilikuwa najiuliza yapo wapi magari yenye Namba C maana kule Dar es Salaam hayaonekani. Miaka ile jiji zima lilikuwa na hayo magari lakini siku hizi hayapo.

Baada ya kutembea Kahama, Maswa, Meatu, Kwimba, Mwanza, Geita, Sengerema, Ukerewe, Chato, Bukoba, Magu, Bunda, Busega, Musoma na Tarime nimefahamu kumbe yalihamia huku.
 
Naihitaji sana Toyota Probox, ila bei yake imesimama haswa.
Ngoja niende kwetu Malinyi nikalime kunde mbaazi mwaka huu nipate japo roba kubwa 100 za kilo 100

100 X 100 X 2500 = 25,000,000/= Tsh.

Hapo naingia showroom mabega juu kabisa.

Asanteni.
 
Sie huku Arusha tumekomaa na namba A na hautuambii kitu na 110 zetu (mandolini) huku mbugani na mkonga 1hz.
 
Naihitaji sana Toyota Probox, ila bei yake imesimama haswa.
Ngoja niende kwetu Malinyi nikalime kunde mbaazi mwaka huu nipate japo roba kubwa 100 za kilo 100

100 X 100 X 2500 = 25,000,000/= Tsh.

Hapo naingia showroom mabega juu kabisa.

Asanteni.
Hujaweza ya petrol
 
Bila kusahau ufuta kaka,

Nenda kilosa kwa mpepo kalime ufuta eka zako kumi tu,ukivuna unatafuta ya kwako na d ya juu au E
 
Nilikuwa najiuliza yapo wapi magari yenye Namba C maana kule Dar es Salaam hayaonekani. Miaka ile jiji zima lilikuwa na hayo magari lakini siku hizi hayapo.

Baada ya kutembea Kahama, Maswa, Meatu, Kwimba, Mwanza, Geita, Sengerema, Ukerewe, Chato, Bukoba, Magu, Bunda, Busega, Musoma na Tarime nimefahamu kumbe yalihamia huku.
😃
 
Kuna Watu hapa hapa Dar wana gari no A na ni nzuri sana kupita hata no C & D.

"Kitunze kikutunze au mali ya Mjomba haina huruma" ni Mtu na Mtu kitabia.
 
Kabisa yaani na huwezi ku judge gari kwa kutumia plate no.
 
Naona unatafuta kuuza gari lako la zamani.
 
Back
Top Bottom