Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,387
- 2,245
Wasomaji wengi wa magazeti ni watu wenye kipato angalau wanauwezo wa kununua gazeti na wanapatikana zaidi mijini hivyo basi hao hao ni waelewa wa nchi hii inavyotafunwa na mafisadi na ndio maana hawanunui magazeti ya propaganda kama Uhuru, Rai, Mtanzania, Tazama, Sunday news etc lakini kwa CCM utopia bado wao wanaamini kuwa mambo ni shwari tu wala hawana juhudi za kuyafufua wakiamini senti zao zitawaopoa toka kwenye janga linalokuja