AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Mf neno hii mahakama si ya mama yako na wewe unaweza mjibu kua hata wewe mahakama hii sio ya mama yako wala baba yako
Nina akili kuliko wewe na Boss wako 🤣🤣🤣🤣🤣Mf neno hii mahakama si ya mama yako na wewe unaweza mjibu kua hata wewe mahakama hii sio ya mama yako wala baba yako
Tundu Lissu, John Mnyika na Nassoro Katuga wanamatusi ya reja reja usipokuwa makini unahama kwenye mstari.Nadhani lengo ni kukutoa kwenye mchezo,sasa ukipaniki umeisha,maana utapoteza umakini na kuwapa point opponent wako
Hii mbinu alitumia Bondia Muhammed Ali,alikuwa ana waprovoke opponent wake,basi wanapaniki, hapo wanakuwa hawapo makini na boxing coz wanatumia hasira,kinachofuatia ni kipigo tu
Ukiwa smart kudhubiti hisia zako au hasira zako wewe ni unstoppable
Homeboy upo😃😃😃😃😃😃😃😃
Kweli kabisa na yanakera kiainaTundu Lissu, John Mnyika na Nassoro Katuga wanamatusi ya reja reja usipokuwa makini unahama kwenye mstari.
Nipo Mzee majukumu TU vipi wewe ukopoaHomeboy upo
Nipo sawa sawaNipo Mzee majukumu TU vipi wewe ukopoa