Kumbe Maisha siyo magumu!

Safi sanaa mkuu
Hongera
 
Matrekta yapo na vibarua wapo hivyo Sikuitaji mke kwaajili ya kunisaidia kulima. Ila Nilichogindua wanawake hawapendi wanaume wakulima. Wanawapenda wa ofisini zaidi
Tunawapenda ila tatizo mazao sikuhizi yanakauka sana na jua uzalishaji umekuwa 40%
 
Hizo ekali sita nitapewa Bure pamoja na mtaji wa kilimo? +lack of capital ni key point tangu jiografia ya form wani tunaisoma
 
Unategemea kupata faida kiasi gani, baada ya kutoa gharama?
Natarajia net profit iwe1.6m. sikutumia gharama kubwa kwani shamba ni la nyumbani na ekari tatu nilipalilia mwenyewe kwahiyo hapo ni gharama za trekta , kuotesha na palizi ya ekari tatu tu. Huku hatutumii mbolea za kununua
 
Mazao yamekomaa na yanaridhisha kwa kweli na makadirio ya chini ya mavuno ni gunia 45 za mahindi na gunia 12 za alizeti
Mavuno kidogo tu ushaanza kuwa motivesheni sipika....

Mkuu safari bado,,, Zungumza hayo ukiwa tayari na hela mkononi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…