Kumbe mama huwa anamfuatilia Mange! Sasa huwa anavumilia vipi yale matusi

Kumbe mama huwa anamfuatilia Mange! Sasa huwa anavumilia vipi yale matusi

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Juzi kwenye hotuba yake alitudhihirishia ni kwa namna gani yeye humfuatilia Mange, sasa sijui huwa anayavumilaje yale matusi makali ya mange.

Manage hupendelea kusema "... Mafy ya...yanagonga...".

Kwa kweli Kuna watu Wana roho ngumu kama jiwe.

Ni hayo tu 😎.
 
Back
Top Bottom