Kumbe Mama mkwe!!

Kumbe Mama mkwe!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Mwenye kadhia hii jina kapuni......Anasema....Nakumbuka nilitembelewa na mama mkwe wangu,alikua anafanana sana na mwanae(mke wangu)siku ya fedhea hii nilichelewa kurudi kutoka kazini,nilipofika nyumbani niliend moja kwa moja jikoni,niliemkuta nikamziba macho halafu nikamwambia "guess" akajibu "son in low",nikajua ni mke wangu kwani huwa anapenda sana utani kwani hata nguo alikua amevaa za mke wangu,nilitoa mikono machoni na kuipeleka kwenye makalio na kuyapapasa na kuyaminya,kisha akaikamata mikono yangu akageuka halafu mke wangu akawa anaingia nilipogeuka nyuma na kumuona mke wangu nilimtazama niliekua nampapasa na kugundua ni mama mkwe!!Nilishindwa kusema samahani,niliondoka na kwenda chumbani halafu baada ya muda akaja mke wangu chumbani akinicheka kwa kutokua makini.Kesho yake nilisafiri na sikurudi mpaka mama mkwe alipoondoka!
 
:alien: mmmmmmmmmmmh.sema na wewe una matatizo yako bwana.siku nyingine utamshika housegirl useme umepitiwa.au sio wadau???????????????????????????????????????????
 
Hata smell yake hukuisikilizia kuwa tofauti?
Labda kwa mazingira ya kile kipindi cha Ngeleja aka Megawati, aka kukatika umeme ingewezekana.
Hata hivyo namsifu sana mkeo ...ni mtu social mno, vimeo vingine kama hapo anakimbilia kufungasha mabegi!
 
Hata smell yake hukuisikilizia kuwa tofauti?
Labda kwa mazingira ya kile kipindi cha Ngeleja aka Megawati, aka kukatika umeme ingewezekana.
Hata hivyo namsifu sana mkeo ...ni mtu social mno, vimeo vingine kama hapo anakimbilia kufungasha mabegi!

Sio mke wa mtoa mada,mtoa mada ana allegi na wanawake!
 
Pole sana lakini amini mama mkwe ameificha siri hio na anajivuna jinsi binti yake unavyompa maraha na kumpenda.
 
Kukimbia si solution, kama mama ame mind utajuaje?
 
Yani kafanana mpaka kimo mpaka harufu mpaka mwili wake makalio mikono yake mpaka sauti kweli watu hufanana lakini si kiasi hicho.
 
Hii maneno imenishtua kweli, nyumbani kwangu kaja dada wa mke wangu kula X-Max na wanafanana kwa umbo na sauti, Juzi alivaa gauni la wife nikamkuta sebuleni, mie bila kujua nikasema, 'mambo honey' nikijua ni wife, yeye akajibu, yuko jikoni........... Duh nikabaki kujifaragua..................... Hivi ningekurupuka na kumkumbatia labda yangekuwa makubwa............................! LOL
 
Back
Top Bottom