Ila wapangaji wenzangu mna siri sana!
Kumbe mother house wetu alikwenda kumuona padri kimya kimya na hamtaki kutuambia wapangaji wenzenu!
Sasa ndiyo muelewe kauli ya mlinzi wetu pale getini anaposema LAZIMA TAARIFA YA UVAMIZI wa makazi yetu lazima Yawe katika MAANDISHI.
Kwa sababu wanajua ndani ya taasisi wameomba kuzuia kuendelea na shauri hili. Hivyo hawatabariki taarifa itoke kwa mhuri wa wapangaji hata kama mpangaji aliyeibiwa atahitaji kutoa taarifa.
Wapangaji wrnzangu mna siri sana kisa mmeahidiwa kusamehewa kodi ya nyumba ndo mnaficha wajameni.
Nyumba za kupanga mnasiri sana