About?
Unahama nyumba auHaya mm simo
Kwasababu unamfuga huyo panya akale wapiPanya anakung'ata afu tena anakupuliza......hadi raha
Kwanini iwe siri sasakumtembelea mgonjwa sio dhambi
Wapangaji mna maneno ndiomaana,.Kwanini iwe siri sasa
Hapo Inatakiwa umakini mkubwa sana.Laa sivyo,utaendelea kulala kwa kukoroma huku unatoa ushuzi wa ..."yusuuufuuu"...!Panya anakung'ata afu tena anakupuliza......hadi raha
AliachaWatu wana siri sana. Hakuacha bahasha?
Kuna yuda kati ya wapangaji wenzetu aliwatonya vibaka namna ya kuingiaHapo Inatakiwa umakini mkubwa sana.Laa sivyo,utaendelea kulala kwa kuroma huku unatoa ushuzi wa ..."yusuuufuuu"...!
Watu wana siri sana. Hakuacha bahasha?
Sio mbaya lakini..Aliacha
Ooh!Ila wapangaji wenzangu mna siri sana!
Kumbe mother house wetu alikwenda kumuona padri kimya kimya na hamtaki kutuambia wapangaji wenzenu!
Sasa ndiyo muelewe kauli ya mlinzi wetu pale getini anaposema LAZIMA TAARIFA YA UVAMIZI wa makazi yetu lazima Yawe katika MAANDISHI.
Kwa sababu wanajua ndani ya taasisi wameomba kuzuia kuendelea na shauri hili. Hivyo hawatabariki taarifa itoke kwa mhuri wa wapangaji hata kama mpangaji aliyeibiwa atahitaji kutoa taarifa.
Wapangaji wrnzangu mna siri sana kisa mmeahidiwa kusamehewa kodi ya nyumba ndo mnaficha wajameni.
Nyumba za kupanga mnasiri sana
Creating a problem and pretending to offer a solution.Playing both arsonist and fire-fighter.