Kumbe Mama ndiyo alikataa uwekezaji wa Dangote. Jamaa hatoi rushwa

Kumbe Mama ndiyo alikataa uwekezaji wa Dangote. Jamaa hatoi rushwa

Siku ile Raisi wa kenya alipo kuja aliambiwa, vijana wakija kenya wapigwe mikwaji wakirudi tanzania wapigwe mikwaju. Badala kufikiria mambo makubwa ya taifa yeye anawaza kupiga vinana bakora( elewa neno bakora mikononi mwa wasio julikana)
 
Dangote Kiwanda Chake in Longrun atakifunga kumbuka sasa atakua ana import crude oil kutoka India au Uarabuni awali nilidhani alifanikiwa kuongea na Uganda kui provide refinery yake na crude oil ya Uganda.
 
Atamkumbuka marehemu big kama angekuwa hai labda angemshawishi awekeze kwake mradi mkubwa zaidi ya dangote
 
Bei ya mafuta, huamuliwa na soko la Dunia. Hata refinery ijengwe Dodoma, bado tutanunua mafuta kwa dola na kwa bei itayoamliwa na soko la Dunia.
 
huko youtube kwenye comments watu wanalalamika caption ya video ina-mislead
 
Back
Top Bottom