Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Huyu bondia Jana kanichekesha sana, yani maneno mengi kumbe kwenye ulingo sifuri hakuna anachojua zaidi ya kujamba tu. Ngumi kukunja hawezi anachezea za uso mwanzo mwisho. Uongozi wa masumbwi futeni leseni ya huyu jamaa kwenye forum zenu maana hana sifa ni mvuta bangi kama machokola wa ungalimited.
Atakuja kupasuka kichwa halafu hakuna kesi itakuwepo maana hiyo ni volenti non fit injuria. Aende akabebe magunia ya viazi sokoni ngumi awaachie Akina mwakinyo.
Atakuja kupasuka kichwa halafu hakuna kesi itakuwepo maana hiyo ni volenti non fit injuria. Aende akabebe magunia ya viazi sokoni ngumi awaachie Akina mwakinyo.