Kumbe Mandonga hata mimi nampasua tu

Kumbe Mandonga hata mimi nampasua tu

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Huyu bondia Jana kanichekesha sana, yani maneno mengi kumbe kwenye ulingo sifuri hakuna anachojua zaidi ya kujamba tu. Ngumi kukunja hawezi anachezea za uso mwanzo mwisho. Uongozi wa masumbwi futeni leseni ya huyu jamaa kwenye forum zenu maana hana sifa ni mvuta bangi kama machokola wa ungalimited.

Atakuja kupasuka kichwa halafu hakuna kesi itakuwepo maana hiyo ni volenti non fit injuria. Aende akabebe magunia ya viazi sokoni ngumi awaachie Akina mwakinyo.
1659244306823.jpg
 
View attachment 2309563
Huyu hana tofauti na yule Mrundi Ringbarier Kanyaboya ambaye alituachia kumbukumbu ya msamiati wa kanyaboya.
 
Mlevi,mvutq bangi na masumbwi wap na wap
 
...Baada ya pambano alisema kama Mungu ndiye alipanga apigwe sasa yeye ni nani hata apingane na Mungu😄😄😄Ila jamaa kaitangaza ndondi na kapelekea ongezeko la mashabiki wa kuufatilia huu mchezo nikiwemo mimi.
 
Huyu hana tofauti na yule Mrundi Ringbarier Kanyaboya ambaye alituachia kumbukumbu ya msamiati wa kanyaboya.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Umenikumbusha mbali sana dah [emoji23]
 
...Baada ya pambano alisema kama Mungu ndiye alipanga apigwe sasa yeye ni nani hata apingane na Mungu[emoji1][emoji1][emoji1]Ila jamaa kaitangaza ndondi na kapelekea ongezeko la mashabiki wa kuufatilia huu mchezo nikiwemo mimi.
Jamaa alinishawishi nikaangalie shindanyo japo sio mpenzi wa mambo haya
 
Huyu jamaa mimi naona alikosea mchezo aliotakiwa kuingia !! Yeye ilibidi ashiriki michezo ya watunisha misuli , au wabeba vitu vizito !! Sometime mtu unapigwa kwa sababu hauko katika mchezo sahihi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sure
 
Mchezo wa ngumi ni kama kuingia geto la popo bawa kinyume nyume mdogo angu!!jamaa angechukua tu nafasi ya mzee yussuf ya kuimba taarbu akaachan tu ngumi
 
Back
Top Bottom