Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Shabani kaoneka!Shabani kaoneka umeyakanyaga[emoji848] ntakupiga ngumi hadi utalalaaaaa[emoji23].Huyu boya amejuwa kunichelewesha kulala aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakusi sababuMwenyewe anasema AJALI KAZINI
Mkuu mimi niliitwa nikahudhurie mafunzo ngazi ya taifa lakini I was very busy nahawana pesa ya kunilipa. Nipo next levelMkuu,ulipata ile kazi ya ukarani wa sensa uliyokua unaifukuzia
Huyu hana tofauti na yule Mrundi Ringbarier Kanyaboya ambaye alituachia kumbukumbu ya msamiati wa kanyaboya.Huyu bondia Jana kanichekesha sana, yani maneno mengi kumbe kwenye ulingo sifuri hakuna anachojua zaidi ya kujamba tu. Ngumi kukunja hawezi anachezea za uso mwanzo mwisho. Uongozi wa masumbwi futeni leseni ya huyu jamaa kwenye forum zenu maana hana sifa ni mvuta bangi kama machokola wa ungalimited.
Atakuja kupasuka kichwa halafu hakuna kesi itakuwepo maana hiyo ni volenti non fit injuria. Aende akabebe magunia ya viazi sokoni ngumi awaachie Akina mwakinyo.
View attachment 2309563
TumeshamzikaMkuu,ulipata ile kazi ya ukarani wa sensa uliyokua unaifukuzia
Mlevi,mvutq bangi na masumbwi wap na wapHuyu bondia Jana kanichekesha sana, yani maneno mengi kumbe kwenye ulingo sifuri hakuna anachojua zaidi ya kujamba tu. Ngumi kukunja hawezi anachezea za uso mwanzo mwisho. Uongozi wa masumbwi futeni leseni ya huyu jamaa kwenye forum zenu maana hana sifa ni mvuta bangi kama machokola wa ungalimited.
Atakuja kupasuka kichwa halafu hakuna kesi itakuwepo maana hiyo ni volenti non fit injuria. Aende akabebe magunia ya viazi sokoni ngumi awaachie Akina mwakinyo.
View attachment 2309563
...Baada ya pambano alisema kama Mungu ndiye alipanga apigwe sasa yeye ni nani hata apingane na Mungu😄😄😄Ila jamaa kaitangaza ndondi na kapelekea ongezeko la mashabiki wa kuufatilia huu mchezo nikiwemo mimi.Huyu bondia Jana kanichekesha sana, yani maneno mengi kumbe kwenye ulingo sifuri hakuna anachojua zaidi ya kujamba tu. Ngumi kukunja hawezi anachezea za uso mwanzo mwisho. Uongozi wa masumbwi futeni leseni ya huyu jamaa kwenye forum zenu maana hana sifa ni mvuta bangi kama machokola wa ungalimited.
Atakuja kupasuka kichwa halafu hakuna kesi itakuwepo maana hiyo ni volenti non fit injuria. Aende akabebe magunia ya viazi sokoni ngumi awaachie Akina mwakinyo.
View attachment 2309563
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Umenikumbusha mbali sana dah [emoji23]Huyu hana tofauti na yule Mrundi Ringbarier Kanyaboya ambaye alituachia kumbukumbu ya msamiati wa kanyaboya.
Jamaa alinishawishi nikaangalie shindanyo japo sio mpenzi wa mambo haya...Baada ya pambano alisema kama Mungu ndiye alipanga apigwe sasa yeye ni nani hata apingane na Mungu[emoji1][emoji1][emoji1]Ila jamaa kaitangaza ndondi na kapelekea ongezeko la mashabiki wa kuufatilia huu mchezo nikiwemo mimi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]SureHuyu jamaa mimi naona alikosea mchezo aliotakiwa kuingia !! Yeye ilibidi ashiriki michezo ya watunisha misuli , au wabeba vitu vizito !! Sometime mtu unapigwa kwa sababu hauko katika mchezo sahihi