Kumbe Mbowe, Sugu, Wenje, Yeriko wa Kigamboni, Boni Yai na Ntobi Wanapigania Ubunge wa Nusu mkate October!

Pia kumbuka kuna tetesi toka Twitter kuna Asali ya 12B imeingia, Dr Slaa kazungumzia hilo suala.Mgao wa asali ya 12B sijajua mwamba atawapatia kiasi gani?

Lazima waoneshe juhudi ili wagawiwe asali ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 
Hiyo ahadi haiwezi kutimia milele, CCM wanataka kuzika halafu wawatupie hiyo life jacket
 
Inadaiwa Boni Yai Kwenye Nusu mkate yuko Jimbo la Kawe na Yeriko Nyerere yuko Kigamboni baada ya Makonda kukubalika Arusha

Sugu anakwenda Makete na Ntobi anamuondoa Katambi

Uchaguzi wa Chadema ni mtamu Kweli Kweli

Mlale unono ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Ili mradi tu uanzishe uzi..!!
Sawa tumekusikia
 
Inadaiwa Boni Yai Kwenye Nusu mkate yuko Jimbo la Kawe na Yeriko Nyerere yuko Kigamboni baada ya Makonda kukubalika Arusha

Sugu anakwenda Makete na Ntobi anamuondoa Katambi

Uchaguzi wa Chadema ni mtamu Kweli Kweli

Mlale unono ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Sugu kaambiwa Mwachie sipika Mbeya .....Maana kushindwa spika itakuwa aibu kwa mama Abdul.....Niko Kyela leo wanasema wamepata habari za kununuliwa Sugu, ndo maana watu wote Mbeya wanasema wanakwenda na Lisu
 
Inadaiwa Boni Yai Kwenye Nusu mkate yuko Jimbo la Kawe na Yeriko Nyerere yuko Kigamboni baada ya Makonda kukubalika Arusha

Sugu anakwenda Makete na Ntobi anamuondoa Katambi

Uchaguzi wa Chadema ni mtamu Kweli Kweli

Mlale unono ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Duuuh aisee karibuni sana CCM
 
Inadaiwa Boni Yai Kwenye Nusu mkate yuko Jimbo la Kawe na Yeriko Nyerere yuko Kigamboni baada ya Makonda kukubalika Arusha

Sugu anakwenda Makete na Ntobi anamuondoa Katambi

Uchaguzi wa Chadema ni mtamu Kweli Kweli

Mlale unono ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Waende CCM labda au CHAUMMA. CHADEMA washenyea kambi.
 
Back
Top Bottom