Kumbe Mchungaji aliyefukuzwa uanachama wa CCM Kilimanjaro, alikuwa mgombea urais wa chama cha CCK

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kumbe tulikuwa tunahangaishwa na majitu ya hovyo hovyo tu, nilidhani ni mwana CCM makini.

Screenshot_20250210-185537.jpg
 
Nimesema, hizo ni taarifa za uongo
Nyie watoto hata historia ndogo inawashinda kuijua? Ngoja nikupe darasa. Sawa ngoja nikuelezee

Nape Nnauye alianzisha kundi la CCK akiwa ndani ya CCM. Kundi hili lililenga kuleta mabadiliko ndani ya chama, ikiwa ni pamoja na kuhamasisha uwazi na uwajibikaji.

CCK iliwakusanya vijana na wanachama wengine wa CCM ambao walikuwa na mtazamo wa kuleta mabadiliko chanya ndani ya chama.

Kuhusu Steven Wasira, alikuwa mwanachama wa NCCR-Mageuzi kabla ya kujiunga na CCM. Wasira alihama kutoka NCCR-Mageuzi baada ya kutofautiana na chama hicho, na kisha alijiunga na CCM ambapo amekuwa mwanachama tangu wakati huo.
 
Hacha uongo, wasira alishindwa kula za maoni ya ubungeCCM(1995)
akahamia upinzani akashinda ubunge kupitia upinzani, akapigwa mahakamani na kupoteza ubunge plus kufungiwa Kiwania nafasi ya Ubunge, ndio akasurrender nakurudi CCM..
 
Kumbe tulikuwa tunahangaishwa na majitu ya hovyo hovyo tu, nilidhani ni mwana CCM makini.

View attachment 3232315
Shida iko wapi ? Mwanaccm anaweza kuwa kesho chauma , AcT n.k hivyo hivyo mgombea wa upande mwingine anaweza kuwa ccm , sioni shida maana na mahamuzi ya mtu binafsi nje ya rushwa .

Mjibuni kwa hoja ,sio kimbilia mvua uanachama , ccm mna laana
 
Huyo ni mpumbavu, angekuwa mjinga tungemuelimisha
 
Wasira alihama kutoka NCCR-Mageuzi baada ya kutofautiana na chama hicho, na kisha alijiunga na CCM ambapo amekuwa mwanachama tangu wakati huo.
Kitila Mkumbo
Waitara Chacha Mwita

Wengine nimewaweka kwenye mabano
 
Back
Top Bottom