Kumbe Mchungaji aliyefukuzwa uanachama wa CCM Kilimanjaro, alikuwa mgombea urais wa chama cha CCK

Kumbe Mchungaji aliyefukuzwa uanachama wa CCM Kilimanjaro, alikuwa mgombea urais wa chama cha CCK

Hacha uongo, wasira alishindwa kula za maoni ya ubungeCCM(1995)
akahamia upinzani akashinda ubunge kupitia upinzani, akapigwa mahakamani na kupoteza ubunge plus kufungiwa Kiwania nafasi ya Ubunge, ndio akasurrender nakurudi CCM..
Una uandishi wa kiswahili kibovu sana.Jaribu kutumia mother tongue yako.
 
Kumbe tulikuwa tunahangaishwa na majitu ya hovyo hovyo tu, nilidhani ni mwana CCM makini.

View attachment 3232315
Ni kawaida hata Mshinji alikuwa Katibu ila leo yupo CCM ,Gaucho Katambi alikuwa Mwenyekiti Bavicha sasa yupo CCM ,si ajabu kwa Malisa alikuwa CCK na sasa CCM ,cha msingi je hoja zake wamezizingatia kwamba SISIEMU wamevunja katiba kwa kunyima wanachama wake haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
 
Uko sahihi maana wanaccm halisi ni makondoo watupu hawana uthubutu wa kuhoji lolote. Hata mimi nimeshangaa hizo maiti hai za ccm zimeamka lini na kuanza kuhoji?
Yule fisadi wa Msoga mwenyewe alibabaika akashindwa ; mwanaume mzima tena babu akashindwa kusema kuwa utaratibu ulikiukwa!!
Mara zote toka enzi ya Mkapa watu wanaowania Urais wanashindanishwa!! Huyu fisadi ya Msoga mara mbili zote alishinda nishwa! Unafiki ukamfanya Vasco Dagama akunje mkia wake!
 
Mkuu uongo kwamba Wasira hakuwahi kuhamia NCCR au ???
Mkuu unauliza zezeta maswali ya msingi? Hawa ni wapumbavu wanaokula matapishi Yao kwa kuwalamba makalio viongozi wasiowafahamu hata kidogo! Ni watu hatari sana Kwa mustakabali wa taifa Kwa sababu huamua Kwa makusudi kupindisha jambo ambalo Lina common good Kwa jamii!! Na ukweli wanajua kabisa kuwa wanapotosha au wanaharibu kikubwa ni maslahi yao tu na ego zao ziwe satisfied.
 
Wewe ni mtoto
Wasira alishawah kuwa nccr mageuzi leo ni makamu mwenyekiti wa ccm
Wasira alikuwa TANU, automatically akawa CCM, NCCR-MAGEUZI alienda kwa kazi maalum kwa muda mfupi na akarudi NYUMBANI CCM. Wasira ni miongoni mwa waanzilishi wa CCM acheni kupotosha.
 
Wasira alikuwa TANU, automatically akawa CCM, NCCR-MAGEUZI alienda kwa kazi maalum kwa muda mfupi na akarudi NYUMBANI CCM. Wasira ni miongoni mwa waanzilishi wa CCM acheni kupotosha.
Hiyo ya kazi maalumu umesema wewe ila ni alishakuwa mwanachama wa nccr mageuzi
 
Back
Top Bottom