Kumbe Mganga wenu Kienyeji aliona Kipigo na mkacheza na Taa za Uwanja ili Mechi ihairishwe mroge vizuri?

Nilishuhudia jamaa mmoja aliloga umeme na ukafifia kabisa, alipoachia umeme ukapata nguvu. Ni maajabu, ni sawa tu na kumtupia mtu radi.
 
Timu ikifungwa unajiweka nayo mbali, ikishinda unajifanya nawe shabiki wa stars, hakuna mtu lofa humu kama wewe.
LOFA LA JF.....[emoji3578][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hahahahaha, watanzania bhana.....wanafuarahisha sana dah, hamjui mnafanya nini
 
Na nitashinda na Kupewa mno tu Ok?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Nasikia mganga wako kasema ili ishinde tena lazima ubadilishe avatar yako ya Netanyahu ,sasa nasuburi kuona kama hilo sharti litatekelezwa.
 
Nasikia mganga wako kasema ili ishinde tena lazima ubadilishe avatar yako ya Netanyahu ,sasa nasuburi kuona kama hilo sharti litatekelezwa.
Hiyo Avatar haitotoka hapo Milele.
 
Unae hata tu Follower Mmoja hadi sasa? Great Thinkers humfolo Great Thinker Mwenzao sasa Mpumbavu kama Wewe Akufolo nani?
Ww ni mwehu kwakweli hata waliokufollow nina mashaka nao..
Mtu unaejimwambafy muda wote
 
Kikubwa taifa stars ilifungwa nikafurahi Sana. Michezaji mizito kama matenki.
Wanaojiita mapro ndio hovyooo....
Wachambuzi Sasa......mizoga.
 
Ww ni mwehu kwakweli hata waliokufollow nina mashaka nao..
Mtu unaejimwambafy muda wote
Kuna mahala popote nawe umezuiwa huko Kujimwambafai / Kujisifia Kunakotukuka kama Mimi?

Idiot.
 
Popoma on the beat!
Huyu Jamaa bana, mganga mmoja anatokaje Morogoro na Kigoma at the same time?
Timu ingekuwa inategemea mambo hayo ya waganga kipigo si wangeiona mapema,? Iweje wasubiri mganga siku ya mechi?
 
Huyu Jamaa bana, mganga mmoja anatokaje Morogoro na Kigoma at the same time?
Timu ingekuwa inategemea mambo hayo ya waganga kipigo si wangeiona mapema,? Iweje wasubiri mganga siku ya mechi?
Huna Akili acha kunipotezea muda.
 
Ndio maana tumesema na kuishauri chuo cha SAUT ikunyanganye degre waliokupa kimakosa

Mambo unayoyaandika Ni ya ovyo sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…