kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Nilishuhudia jamaa mmoja aliloga umeme na ukafifia kabisa, alipoachia umeme ukapata nguvu. Ni maajabu, ni sawa tu na kumtupia mtu radi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni kiazi,Kuliko aliyekutapika Wodi ya Uzazi Mwananyamala?
LOFA LA JF.....[emoji3578][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Timu ikifungwa unajiweka nayo mbali, ikishinda unajifanya nawe shabiki wa stars, hakuna mtu lofa humu kama wewe.
Nasikia mganga wako kasema ili ishinde tena lazima ubadilishe avatar yako ya Netanyahu ,sasa nasuburi kuona kama hilo sharti litatekelezwa.Na nitashinda na Kupewa mno tu Ok?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Hiyo Avatar haitotoka hapo Milele.Nasikia mganga wako kasema ili ishinde tena lazima ubadilishe avatar yako ya Netanyahu ,sasa nasuburi kuona kama hilo sharti litatekelezwa.
Unae hata tu Follower Mmoja hadi sasa? Great Thinkers humfolo Great Thinker Mwenzao sasa Mpumbavu kama Wewe Akufolo nani?Mimi nina akili kukuzidi mkuu..usinitishe na folowazi wako 😆
Ulishuhudia wapi hilo?Nilishuhudia jamaa mmoja aliloga umeme na ukafifia kabisa, alipoachia umeme ukapata nguvu. Ni maajabu, ni sawa tu na kumtupia mtu radi.
Ww ni mwehu kwakweli hata waliokufollow nina mashaka nao..Unae hata tu Follower Mmoja hadi sasa? Great Thinkers humfolo Great Thinker Mwenzao sasa Mpumbavu kama Wewe Akufolo nani?
Kuna mahala popote nawe umezuiwa huko Kujimwambafai / Kujisifia Kunakotukuka kama Mimi?Ww ni mwehu kwakweli hata waliokufollow nina mashaka nao..
Mtu unaejimwambafy muda wote
Huyu Jamaa bana, mganga mmoja anatokaje Morogoro na Kigoma at the same time?Popoma on the beat!
Huna Akili acha kunipotezea muda.Huyu Jamaa bana, mganga mmoja anatokaje Morogoro na Kigoma at the same time?
Timu ingekuwa inategemea mambo hayo ya waganga kipigo si wangeiona mapema,? Iweje wasubiri mganga siku ya mechi?
Ndio maana tumesema na kuishauri chuo cha SAUT ikunyanganye degre waliokupa kimakosaPongezi nyingi mno kwa Nahodha wa Uganda (The Cranes) Okwi, Kocha Micho, Refaree, Kamisaa wa Mechi na Msimamizi Mkuu kutoka CAF kwa Kukataa Mechi iahirishwe (kama ilivyoombwa na Mazuzu Waliofungwa) na kutaka Kipigwe na Mwanga ule ule uliokuwepo.
Wapuuzi wakubwa yaani tokea Mechi inaanza Taa zilikuwa sawa sawa na baada ya Mganga wa Kienyeji kutoka Morogoro na Kigoma kuwaambia Mtafungwa mkaamua muende katika mfumo wa Taa ili zipungue Kasi yake na Referee aone Mwanga hafifu ahairishe Mechi na Mroge upya.
Na kwa Umeme (Taa) kuwa hafifu vile tegemeeni Adhabu Kali kutoka CAF na hata Uwanja wenu Kufungiwa kabisa.
GENTAMYCINE nikiwasema na nikiwaambia Hamna Akili mnanikasirikia.
Hovyoooooooo.........!!!!!!
Tulishasema bwan huyu anyanganywe degree ya mass communicationTimu ikifungwa unajiweka nayo mbali, ikishinda unajifanya nawe shabiki wa stars, hakuna mtu lofa humu kama wewe.
KbsaJamaaa unawazaga ushirikina tu.
Ukiandika Nyuzi 2 kuhusu Mpira Moja lazima inahusiana na Ushirikina.
Ndio maana huwezagi andika Nyuzi za soka la Ulaya coz unawaza Ulozi tu.
Its normal for a Fool to support a fellow Fool.
Wewe uliye mzima mbona hujashinda au hata tu kuwa Nominated na JamiiForums?Inashangaza mno jf kumtunuku mtu mweu namna hi tuzoo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app