GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Hauijui KatoroKatoro Bukoba vijijini kuna maduka ya pipi na unga tu
Nimeiongelea Katoro ya Geita.Katoro Bukoba vijijini kuna maduka ya pipi na unga tu
Hauijui Katoro
Kuna Katoro ya Geita pia home boy sio tu Bukoba vijijiniKatoro Bukoba vijijini kuna maduka ya pipi na unga tu
Mmeo hajambo mkuu?Katoro Bukoba vijijini kuna maduka ya pipi na unga tu
Njia zote za kuingilia kwenye maduka yaliyopo ndani ya soko la Kariakoo Katoro zimepigwa kamba nyekundu, na yale yaliyopo pembezoni mwa barabara nayo yamefungwa.Leo asubuh nimewafikiria wafanyabiashara wa katoro nikahis watakuwa wanapga hela Sana wakat huu wa mgomo,kumbe nao wapo kwenye mgomo
Nazijua mzee kwani kuna shidaHauijui Katoro
NaijuaKuna Katoro ya Geita pia home boy sio tu Bukoba vijijini
Hapo umejiona mjanjaa??? Sema nini, mnazidi kuwa wengiMmeo hajambo mkuu?